Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

Acha kuwaza kwa kutumia visigino
 
Hizo ndio propaganda zenyewe sasa!

Yeye alikuwa anapiga kampeni, sasa ulitaka aseme chagueni yeyote wakati anakinadi chama chake cha ccm?
Kwani Lisu anaposema msichague wana ccm huwa anakuwa anaeneza ubaguzi
Kuna mahali Mh. Lissu amesema wasipoichagua CHADEMA hatapeleka maendeleo?
 
Tatizo watu waliuwawa wengi,na ni majuzi tu,na wengine wamedhulumiwa roho zao,Kwa nini?,wengi wameachwa vizuka,tujikumbushe.
 
Kuna mwanasiasa mbaguzi na mwenye chuki nchi hii kumzidi Jiwe? Jiwe aliwaambia wapiga kura wakichagua chama tofauti na ccm hatawapelekea miradi ya maendeleo. Huo ni ubaguzi, na ni siasa za chuki.

yan hili jitu life tu, sasa lenyewe ndio shetani la kwanza, linavuta bangi hili eti ? yan kila siku anabagua watu eti leo hataki ubaguzi, ndio mana sisikilizag masengelema kama hayo
 
Huwa kinafiki anasema maendeleo hayana vyama lakini wakati wa kupeleka maendeleo anaangalia vyama. Kwenye upinzani anasema hapeleki maendeleo na hatapeleka milele!
 
Huwezi kukemea hali ambayo imo ndani yako!

Rais mwenyewe anabagua watu kwa misingi ya siasa halafu haoni kama ni tatizo, ajisahihishe nchi itakuwa na mvuto.
 
Naungana na 4102gogoki alivyosema kwamba jamaa anaongea utafikiri amekatwa kichwa!! Sehemu zote anaozenda anaonyesha ubaguzi wa waziwazi....mara sileti maendeleo kwasababu mmechagua upinzani ,mara siwezi kulifanya jiji ili kwa sababu hamajachagua sisiemu and bla bra kibao.
 
Huu ndio ubaguzi
 
Mheshimiwa Rais unapotoa kauli kama hizi za kupinga ubaguzi vitendo vyako viakisi hizo kauli. Tumekusikia kwenye mikutano yako ya kampeni hususan ulipokuwa Bunda kwa Ester Bulaya ukiwaambia wananchi kuwa kwa miaka mitano iliyopita hukuwapelekea maendeleo kwa vile walichagua upinzani. Huu kama di ubaguzi ni nini?
 
unaweza kuwa na takwimu ya majimbo ya wapinzani na kuonyesha kwa asilimia ngapi hao wabunge wamechangia maendeleo ya majimbo yao ikiwemo kuyatetea na kwa vitendo?
alafu na takwimu ya mangapi serikali imefanya katika majimbo ya upinzani
 
Hili zee likoje lakini? Haliko sawa kichwani hili! Anayeeneza chuki na ubaguzi si ni yeye? Utawaambiaje wananchi kwamba wakichagua upinzani hupeleki miradi? Siyo ubaguzi huo? Atulie hivyo hivyo tumnyoe tarehe 28 Oktoba
Rudi darasani kwanza ukajifunze maana halisi ya ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…