Anazungumzia kuwa wana Kagera ni watu wakini hawawezi fanya ujinga then wew unakuja kuwafananisha na watu wa kwenu au Dodoma!!Atachaguliwa kwa kishindo, watanzania wanajua watakacho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazungumzia kuwa wana Kagera ni watu wakini hawawezi fanya ujinga then wew unakuja kuwafananisha na watu wa kwenu au Dodoma!!Atachaguliwa kwa kishindo, watanzania wanajua watakacho.
Hapo ndipo anaponiacha hoi. Kila kona, ana ahidi vyeo! Kwa sasa hata push up atapiga. Atawaburudisha watu kwa kucheza, na kupiga ngoma.Serikali hii ina mavyeo mengi na ndio maana nimemwambia hata Prof. Tibaijuka, ameniambia hapa, mdogo wangu nimestaafu. Mimi nakwambia hapa, Prof. hujastaafu. Hauwezi tukamuacha Profesa akakaa tu hapa wakati kuna maeneo mengi ya kwenda kufanya.[emoji848][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Swali, je zilitolewa kifanya kazi hizo?lami Muleba- Kanyambogo...na sasa Kanyambogo- Nshamba!......
Rambirambi zilijenga shule Ihungo, zahanati, vituo vya afya pamoja nai vifaa tiba au wewe ulitaka zifanye nini Kamanda?
Yote hiyo ni kumtukuza binadamu kuliko Mungu, wakitumia matumbo kufikiri badala ya ubongo.Nchi haiwezi ongozwa na watu hovyo namna hii, wenye roho za kimaskini ni,kukiri udhaifu kila wakati, mara sijui jalalani, wanyonge, etc, huu ni ushamba.
mkuu na mimi niko jalalani huku nzega njoo unitoe maana napiga chaki tu sana lakini daraja wala mshahara sioni tangu nipate ajira hii na tangu uingie madarakaniRais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko.
===========
Anna Tibaijuka: Nashukuru sana mheshimiwa Rais kuniruhusu na mimi nikapumzike. Ninapopumzika, hapa tunaacha ni mahali salama. Kuna mtu mwenye mashaka na baba huyu? Kuna mtu mwenye wasiwasi? (Wananchi: Hamna)...
But still hatutoacha kuiita ni rushwa!Hakuna afisa wa TAKUKURU mwenye ujasiri wa kumkamata Magufuli anapotoa Rushwa ya aina yoyote ile.
" Serikali hii ina mavyeo mengi" - Magufuli 😳😳😳😳😳😳Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko...
Mkuu nikuambie tu kitu kimoja, Uumkatae siku husika siyo 'kulia lia' kwenye keyboard kumsujudu huyo 'malaika'.!mkuu na mimi niko jalalani huku nzega njoo unitoe maana napiga chaki tu sana lakini daraja wala mshahara sioni tangu nipate ajira hii na tangu uingie madarakani
Huyu Magufuli sasa apumzike kufanya kampeni. Wananchi hawamtaki. Kazi kusomba wanafunzi na mateja tu wahudhurie mikutano yakeRais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko...
Aahaa rangi halisi iko wazi .Ni jambo jema. Kampeni na ziendelee. Tuna jambo letu Oktoba 28!
Aahaa rangi halisi iko wazi .Ni jambo jema. Kampeni na ziendelee. Tuna jambo letu Oktoba 28!
Wewe umekazana na kauli tu mbona shule iliyobomboka huisemi Nazi yako ni kauli unadhani wanakagera wote wanaakili kama zako.Mkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.
Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
Utanyooka tu! Naona unahangaika na mgombea wa CCM wa Saccos huna mpango naye!Kwa mtu ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 5 na amefanya mengi kama anavyojimwambafai, halafu kwenye mikutano akawa anakosa watu kiasi hiki mpk wanafunzi wa chekechea na shule za msingi wanakusanywa, hakika itamuumiza sana na kumpa msongo wa mawazo.
Hebu tazama mwenyewe hapa chini.
View attachment 1570420View attachment 1570421
Utanyooka tu! Naona unahangaika na mgombea wa CCM wa Saccos huna mpango naye!