Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

Hao watoto wanashindwa wamshangae nani kati ya Magufuli na huyo polisi
 
Mkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.

Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
So sad
 
Hao watoto mie naona wanawasumbua bure, maana hata wakiitwa kusikiliza sera hawezi kupiga kura! CCM wangeliangalia jambo hili na wabadili tu namna ya kuishi na watu! Wewe umepewa pesa za rambirambi badala ya kuwapelekea wahanga unazigeuza kuwa mali ya serikali! Watu wamepigwa na njaa wanaomba msaada unasema serikali haina shamba! Sasa hapo CCM na wajibe wenyewe na roho zao mbaya!
 
Hao watoto mie naona wanawasumbua bure, maana hata wakiitwa kusikiliza sera hawezi kupiga kura! CCM wangeliangalia jambo hili na wabadili tu namna ya kuishi na watu! Wewe umepewa pesa za rambirambi badala ya kuwapelekea wahanga unazigeuza kuwa mali ya serikali! Watu wamepigwa na njaa wanaomba msaada unasema serikali haina shamba! Sasa hapo CCM na wajibe wenyewe na roho zao mbaya!
Hopeless comment ever!
 
Ameshafika Mterangoma kupitia Katerero? Najua ataahidi kujenga daraja kubwa pale mto ngono ili watu wavuke salama
We jamaa ni chizi kweli. Hivi ule uzi wako kuwa ameahirisha kwenda Kagera umeenda wapi?
 
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko....
Uzuri Wahaya nao wanajuwa unafiki, anachosema siyo anachomaanisha. Najuwa kura ni siri ya mtu , huyu Prof Tibaijuka kura yake ni kwa Tundu Lissu hilo halina ubishi.

Huyu ndiye mwanzilishi wa BAWATA kwenye miaka ya 1998-99 wakati wa BWM. Huyu ni mwanamke mpinzani toka kwenye roho. Huko CCM ni busara za Mkapa tu ndiyo zilimvuta walipomtafutia kazi UN kama President wa Habitat.

Nani kasahau namna Magufuli alivyomtemesha ile Bilioni Moja aliyopea na James Rugemalira?
 
"Kuna mavyeo mengi"

Serikalini kuna mavyeo mengi.
 
Hakuna afisa wa TAKUKURU mwenye ujasiri wa kumkamata Magufuli anapotoa Rushwa ya aina yoyote ile.
Una uwezo wa kumnyooshea boss wako akitukana kwenye kikao?
No offense sheria zinawaruhusu lakin huyo ndio boss wao. Wanashindwa waanzie wapi
 
Jamaa yangu alikuwa kwenye huo mkutano. Anasema ulinzi wa hapo ulikuwa mkali mno. Mkutanoni watu walikuwa wanasema "Mshaija yaija kutubia" maana yake Mwanaume kaja kutudanganya 😂.
Choka umusheija taina magezi
 
#5INGINE KWA JPM 2025.
FB_IMG_1600032516842.jpg
 
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko.....

===========

Anna Tibaijuka: Nashukuru sana mheshimiwa Rais kuniruhusu na mimi nikapumzike. Ninapopumzika, hapa tunaacha ni mahali salama. Kuna mtu mwenye mashaka na baba huyu? Kuna mtu mwenye wasiwasi? (Wananchi: Hamna)...
Mwafa,TETEMEKO HALIJALETWA NA SERIKALI
 
Yaani waliompiga risasi yeye walipatia sana maana aliweza kuponywa na utukufu wa Mponyaji umeonekana. Walipatia sana maana kupitia hilo watu wamejua nani mwenye hila!

Waliomfukuza ubunge walipatia sana maana limewafanya watu wema wasimame na wenye kuteswa. Wanomtukana na kumbeza wanapatia sana maana wanampa jambo la kuwaambia wanachi

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mama Tibaijuka wape heshima wahaya wenzako
Umeahidiwa cheo unakenua
Bwana mahera njoo huku kuna rushwa inatangazwa wazi wazi
 
Back
Top Bottom