Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

Atachaguliwa kwa kishindo, watanzania wanajua watakacho.
Anazungumzia kuwa wana Kagera ni watu wakini hawawezi fanya ujinga then wew unakuja kuwafananisha na watu wa kwenu au Dodoma!!
 
Hapo ndipo anaponiacha hoi. Kila kona, ana ahidi vyeo! Kwa sasa hata push up atapiga. Atawaburudisha watu kwa kucheza, na kupiga ngoma.
We' subiri ashinde na kuapishwa, ndipo tutakapoona roho yake halisi ilivyo katili!
 
lami Muleba- Kanyambogo...na sasa Kanyambogo- Nshamba!......
Rambirambi zilijenga shule Ihungo, zahanati, vituo vya afya pamoja nai vifaa tiba au wewe ulitaka zifanye nini Kamanda?
Swali, je zilitolewa kifanya kazi hizo?
 
Nchi haiwezi ongozwa na watu hovyo namna hii, wenye roho za kimaskini ni,kukiri udhaifu kila wakati, mara sijui jalalani, wanyonge, etc, huu ni ushamba.
Yote hiyo ni kumtukuza binadamu kuliko Mungu, wakitumia matumbo kufikiri badala ya ubongo.
 
mkuu na mimi niko jalalani huku nzega njoo unitoe maana napiga chaki tu sana lakini daraja wala mshahara sioni tangu nipate ajira hii na tangu uingie madarakani
 
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko...
" Serikali hii ina mavyeo mengi" - Magufuli 😳😳😳😳😳😳
 
mkuu na mimi niko jalalani huku nzega njoo unitoe maana napiga chaki tu sana lakini daraja wala mshahara sioni tangu nipate ajira hii na tangu uingie madarakani
Mkuu nikuambie tu kitu kimoja, Uumkatae siku husika siyo 'kulia lia' kwenye keyboard kumsujudu huyo 'malaika'.!
 
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko...
Huyu Magufuli sasa apumzike kufanya kampeni. Wananchi hawamtaki. Kazi kusomba wanafunzi na mateja tu wahudhurie mikutano yake
 
Mkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.

Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
Wewe umekazana na kauli tu mbona shule iliyobomboka huisemi Nazi yako ni kauli unadhani wanakagera wote wanaakili kama zako.
 
Kwa mtu ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 5 na amefanya mengi kama anavyojimwambafai, halafu kwenye mikutano akawa anakosa watu kiasi hiki mpk wanafunzi wa chekechea na shule za msingi wanakusanywa, hakika itamuumiza sana na kumpa msongo wa mawazo.

Hebu tazama mwenyewe hapa chini.

 
Tibaijuka alinchosha aliposema bilioni kumi ni pesa ya mboga
 
Utanyooka tu! Naona unahangaika na mgombea wa CCM wa Saccos huna mpango naye!
 
Hiki chama kimetiwa mkosi na Magufuli.
Halafu huyu askari hana akili, unashika silaha ya kivita mbele ya wanafunzi watoto huu ni ukatili na ushenzi
 
Subiri wapiga Zumari waje Mkuu ,watampamba huyo na kumsifia bila ya mantiki.
 
HIV KWANINI HUWA HAWAKUSANYI WA SECONDARY HIV VITOTO VIDOGO NI KUVIUMIZA JUANI TU NA HUYO ASKARI KAMA BUNDUKI HAIPO KWENYE SAFETY KWA BAHATI MBAYA IKAFTAUKA SI MAAFA HAPO
 
Utanyooka tu! Naona unahangaika na mgombea wa CCM wa Saccos huna mpango naye!

Mkuu, poleni bana Mzee Baba yupo na Watoto tu hapo wengine wanawaza Muda wa Uji/wengine wana waza bakshishi ya viporo vyao vya jana sasa sijui Mh sana wa inchnji anakuwa anafikisha ujumbe kwa nani hapo 😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…