Huyo anayekusanyiwa vitoto vya chekechea ndiye atanyooka.Utanyooka tu!
Kuiita bila kumchukulia hatua mtendaji haitoshiBut still hatutoacha kuiita ni rushwa!
So, Magufuli Kama kawaida yake anaendelea kusambaza 'upendo' wa rushwa!!
So sadMkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.
Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
Tena amekitia nuksi ya mnyama FungoHiki chama kimetiwa mkosi na Magufuli.
Hopeless comment ever!Hao watoto mie naona wanawasumbua bure, maana hata wakiitwa kusikiliza sera hawezi kupiga kura! CCM wangeliangalia jambo hili na wabadili tu namna ya kuishi na watu! Wewe umepewa pesa za rambirambi badala ya kuwapelekea wahanga unazigeuza kuwa mali ya serikali! Watu wamepigwa na njaa wanaomba msaada unasema serikali haina shamba! Sasa hapo CCM na wajibe wenyewe na roho zao mbaya!
We jamaa ni chizi kweli. Hivi ule uzi wako kuwa ameahirisha kwenda Kagera umeenda wapi?Ameshafika Mterangoma kupitia Katerero? Najua ataahidi kujenga daraja kubwa pale mto ngono ili watu wavuke salama
Uzuri Wahaya nao wanajuwa unafiki, anachosema siyo anachomaanisha. Najuwa kura ni siri ya mtu , huyu Prof Tibaijuka kura yake ni kwa Tundu Lissu hilo halina ubishi.Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko....
Lile bango la Nhif la uongo na huu uzi leo ni aibu kubwa kwako.Kaahirisha kampeni Bukoba mjini ndiyo
Una uwezo wa kumnyooshea boss wako akitukana kwenye kikao?Hakuna afisa wa TAKUKURU mwenye ujasiri wa kumkamata Magufuli anapotoa Rushwa ya aina yoyote ile.
Katiba yetu ni ya 'kipuuzi' sana mkuu na ndio maana Watanzania wengi nikiwamo 'mimi' naipigania katiba ya Jaji warioba.Kuiita bila kumchukulia hatua mtendaji haitoshi
Choka umusheija taina mageziJamaa yangu alikuwa kwenye huo mkutano. Anasema ulinzi wa hapo ulikuwa mkali mno. Mkutanoni watu walikuwa wanasema "Mshaija yaija kutubia" maana yake Mwanaume kaja kutudanganya 😂.
Mwafa,TETEMEKO HALIJALETWA NA SERIKALIRais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko.....
===========
Anna Tibaijuka: Nashukuru sana mheshimiwa Rais kuniruhusu na mimi nikapumzike. Ninapopumzika, hapa tunaacha ni mahali salama. Kuna mtu mwenye mashaka na baba huyu? Kuna mtu mwenye wasiwasi? (Wananchi: Hamna)...