Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Naomba nikwambie kuwa magufuli hakuwahi kushinda wala kushindwa kwa kuwa ni muoga kuingia kwenye ushindani ,nasi watanzania tutamwadhibu kwa makosa yafuatayo
1.kuiba na kula rambirambi
2.Wizi wa 1.5 trillion
3.Ukandamizaji wa haki za binadamu
4.ubaguzi
5.Uongo na ahadi zisizotekelezeka mfano Noah kwa kila mtanzania na zile 50 mln kwa kila kijiji
6.utekaji na mauaji
7.kujificha wakati wa majanga mfano covid19 na Ajali ya MV nyerere
8.Udhalilishaji wa wanawake majukwaani
9.Hajatimiza moja ya masharti ya kugombea urais yanayosema kuwa lazima mgombea ajue "kuongea na kuandika kiswahili na kingereza kwa ufasaha"
10.Ameiba aridh huko karagwe 25000 hekari
Inshi ona ili nalo.🤐🤐
 
JPM anajua yeye ni Rais anayesuburi kuapishwa ndiyo maana anafanya kampeni kwa kujiamini.
 
Dodoma alituahidi. 2017-20.

1. Ujenzi wa uwanja mkubwa wa kisasa wa michezo kushirikiana na mfalme wa Moroco ameshindwa.

2. Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko kuzunguka Dodoma jiji. Ring road Ameshindwa.

3Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato ameshindwa.

4. Ujenzi wa Hospital ya Uhuru baada ya kukata fedha za sherehe maazimisho ya uhuru day.

5.Kiingereza kimemshinda.

Hii ni Dodoma sijui huko mikoani?
Vyote hivyo alivyoviahidi Dodoma amevitekeleza na kwa kuthibitisha hilo upinzani hawatapata Jimbo hata moja .
 
Wewe acha unafki eti hajawahi kushindwa mbona juzi tuu ameshindwa kuongea kidhungu fresh?? "No mazasi ,No fazasi ,No Brazasi,No ankozi ,bati ai kanti lichi yuu"....Acha kuchanganya wapiga kura nyau wewe
 
Vyote hivyo alivyoviahidi Dodoma amevitekeleza na kwa kuthibitisha hilo upinzani hawatapata Jimbo hata moja .
Uchaguzi huru na haki bila kubebwa na polisi au tume CCM kupata wabunge 10 nchi nzima naweza kuhamia Mogadishu rasmi
 
Wewe acha unafki eti hajawahi kushindwa mbona juzi tuu ameshindwa kuongea kidhungu fresh?? "No mazasi ,No fazasi ,No Brazasi,No ankozi ,bati ai kanti lichi yuu"....Acha kuchanganya wapiga kura nyau wewe
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli
 
Magufuli amewahi kushindwa ktk kura za maoni za CCM alipotia nia ya ubunge kwa mara ya kwanza mwaka 1990.
Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi.
"11. Magufuli ni Mtu wa Visasi vya Hatari
Magufuli siyo mtu wa kawaida kabisa, ndani yake amejaa chuki na visasi. Ni mtu wa visasi vya ajabu, hii inanikumbusha alipogombea ubunge 1995 na bwana Ernest Nyororo. Baada ya kushindwa katika kura za maoni ila baadaye alipoteuliwa bila uwoga alianza kumshughulikia Nyororo mpaka ikampelekea Nyororo akapata shinikizo la moyo. Kumbuka Nyororo ni ndugu yake wa damu sasa sisi wengine itakuwaje, ni wazi hili jambo linaitaji tafakari ya kina. Kama ndugu yake anaweza kumshambulia kiasi hicho iweje watu wa kawaida….. Leo Ocampo nikiwa naandika huu uzi sisiti kusema ya kwamba hata hao viongozi wanaotaka Magufuli apitishwe naomba niwaambie kwa chuki na kisasi cha Magufuli kuna siku atawabadilikia tena sana sana. Huko mbeleni naomba msije mkasema"
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli
Ukweli uneshapewa hapo juu! Magufuli ni failure toka enzi na enzi. Soma kipande cha story hapo juu.
 
Naomba nikwambie kuwa magufuli hakuwahi kushinda wala kushindwa kwa kuwa ni muoga kuingia kwenye ushindani ,nasi watanzania tutamwadhibu kwa makosa yafuatayo

1. Kuiba na kula rambirambi
2. Wizi wa 1.5 trillion
3. Ukandamizaji wa haki za binadamu
4. Ubaguzi
5. Uongo na ahadi zisizotekelezeka mfano Noah kwa kila mtanzania na zile 50 mln kwa kila kijiji
6. Utekaji na mauaji
7. Kujificha wakati wa majanga mfano covid19 na Ajali ya MV nyerere
8. Udhalilishaji wa wanawake majukwaani
9. Hajatimiza moja ya masharti ya kugombea urais yanayosema kuwa lazima mgombea ajue "kuongea na kuandika kiswahili na kingereza kwa ufasaha"
10. Ameiba aridh huko karagwe 25000 hhek
Pumba kabisa
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert
Sasa ni wakati wa Tanzania kukombolewa na Watanzania wenyewe kutoka kwa mabedui wa kijani waliolitafuna Taifa hili kwa 50+ years.
 
Umesahau kuweka deni la taifa limekua kwa kiasi gan,i ili tupime na hayo makusanyo ya kupika.
 
Back
Top Bottom