Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

John Pombe Magufuli ni mwanaume wa Karne [emoji7][emoji378][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert
Wewe si uko kwenye payroll ya magu ili umpiganie lazima.
Sie watanzania halisi tunaipigania nchi yetu kwa nguvu zetu zote kutoka mikononi mwa bacteria wa kijani ambao kazi yao ni kutafuna tuuuuuu!
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Wewe si uko kwenye payroll ya magu ili umpiganie lazima.
Sie watanzania halisi tunaipigania nchi yetu kwa nguvu zetu zote kutoka mikononi mwa bacteria wa kijani ambao kazi yao ni kutafuna tuuuuuu!
 
John Pombe Magufuli ni mwanaume wa Karne [emoji7][emoji378][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Duh! Baada ya kazi ya faragha kati yako wewe na Magufuli, sasa ndiyo umekuja kutupa mrejesho wa uanaume wake. Hongera kwa kukuridhisha ipasavyo.
 
Wakuu, salaam!

Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe.

Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe 28 Oktoba, 2020 bado anapambana lkn usitegemee atashindwa - sababu za kutoshindwa ziko nyingi:-

(i). Uwezo binafsi na Ubunifu:-

Haikuwa kazi nyepesi kusimamia ongezeko la mapato ya Serikali kutoka takriban 800B - 1.3T kwa mwezi (ni fedha hizi zimewezesha utekelezaji wa miradi mikubwa kwa midogo i.e viwanja vya ndege, ndege, meli, vivuko, maji, hospital na vituo vya afya, elimu bure nk nk);

(ii). Ziara za ndani:-

Wakati wote ametumia muda mwingi kufanya ziara za kikazi ndani ya mikoa tofauti na utamaduni wa viongozi wengi ambao leo wakinywa chai Ufaransa mchana hula UK - hii imemjengea sifa kubwa kwa wananchi na kuwa ktk orodha wa viongozi wanaoaminiwa;

(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-

Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;

(iv). Ajali za barabani
- zimepungua sana tofauti na miaka kadhaa ya nyuma;

Kwa ujumla sifa za kiungozi anazo nyingi, kama kuna kasoro sehemu basi ni zile za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo.

Rai yangu:-

Kwa kuwa amehiari kutuongoza kwa miaka mingine mitano (2020/2021 - 2024/2025) basi tukubali kwa wingi wetu kumchagua na kulinda kura zake ili zisihujumiwe na mahasimu wake wa kisiasa.

Nawasilisha kwa hatua zenu hapo 28/10
Kama fanikio lenu ni ajari mmeisha hapo madereva tumeacha tu ulevu
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Msaliti wa nchi namba moja ni Magufuli, anakwiba matrilion ya Tshs, alafu anakuja kuwapiga biti Ma-CAG wasikague projects zake uchwara.
Ndiyo maana, sisi Watanzania tunasema ni bora twende na kamanda Lissu, "mwamba straight from the anga"
 
Magufuli ni fisadi la kutupwa.Tokea Tanzania ipate uhuru hakuna Rais ambae aliwahi kupiga dili la ufisadi wa TZS 1.5 trillion.Unafikiri kuwa tumesahau ule ufisadi wa Magufuli wa TZS 1.5 trillion?!
5430210.jpg
 
Msaliti wa Nchi ni lissu aliyekuwa anatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Asante kwa Magufuli kupigania madini yetu sasa Watanzania tunafaidi

Lissu anatembea na laana kwa kusaliti Nchi
Msaliti wa nchi namba moja ni Magufuli, anakwiba matrilion ya Tshs, alafu anakuja kuwapiga biti Ma-CAG wasikague projects zake uchwara.
Ndiyo maana, sisi Watanzania tunasema ni bora twende na kamanda Lissu, "mwamba straight from the anga"
 
.

(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-[/B]
Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;
[

Mkuu,asante kwa kutukumbusha hili, Hata hivyo je unaweza kuidadavua hoja hii namba tatu,kwa kufafanua zaidi kile kilichomkuta CAG aliyepita Prof Assad ?.
 
Fisadi ni lissu aliyekuwa anatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu
Uthibitisho wa Lissu kuwa ni fisadi upo wapi au unajifurahisha tu na porojo za hapa na pale?Ripoti ya CAG ilithibitisha kuwa Magufuli alipiga 1.5 trillion.Ni ufisadi wa karne
 
Wakuu, salaam!

Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe.

Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe 28 Oktoba, 2020 bado anapambana lkn usitegemee atashindwa - sababu za kutoshindwa ziko nyingi:-

(i). Uwezo binafsi na Ubunifu:-
Haikuwa kazi nyepesi kusimamia ongezeko la mapato ya Serikali kutoka takriban 800B - 1.3T kwa mwezi (ni fedha hizi zimewezesha utekelezaji wa miradi mikubwa kwa midogo i.e viwanja vya ndege, ndege, meli, vivuko, maji, hospital na vituo vya afya, elimu bure nk nk);

(ii). Ziara za ndani:-
Wakati wote ametumia muda mwingi kufanya ziara za kikazi ndani ya mikoa tofauti na utamaduni wa viongozi wengi ambao leo wakinywa chai Ufaransa mchana hula UK - hii imemjengea sifa kubwa kwa wananchi na kuwa ktk orodha wa viongozi wanaoaminiwa;

(iii). Usimamizi wa matumizi ya fedha za umma:-
Hapa kila mmoja ni shahidi kwamba hata zile kelele za ufisadi zilizokuwa zinapigwa zimepungua sana - ingawa anapaswa kuendelea kumulika zaidi kwa watendaji wake ili wasiingize masuala binafsi kwenye utendaji wa kila siku;

(iv). Ajali za barabani - zimepungua sana tofauti na miaka kadhaa ya nyuma;

Kwa ujumla sifa za kiungozi anazo nyingi, kama kuna kasoro sehemu basi ni zile za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo.

Rai yangu:-
Kwa kuwa amehiari kutuongoza kwa miaka mingine mitano (2020/2021 - 2024/2025) basi tukubali kwa wingi wetu kumchagua na kulinda kura zake ili zisihujumiwe na mahasimu wake wa kisiasa.

Nawasilisha kwa hatua zenu hapo 28/10
wanawake weusi wanateseka sana kwenye huu utawala.

WANAWAKE WEUSI wana jambo lao 28-10-2020.
 
Asante kwa Magufuli kupigania madini yetu sasa Watanzania tunafaidi

Lissu anatembea na laana kwa kusaliti Nchi

1. Yale matrilion (TZS 400 trillion) zililipwa?
2. Noah zetu tulizoahidiwa zimekuja?
3. Million 50 kila kijiji zimegaiwa?
Niliyouliza hapo juu ndiyo matunda ya kupigania rasilimali zetu za madini.
 
Dunia yote inajua ufisadi wa lissu, Mabeberu hayawezi kukutumia bure

Mtu mzima mishipa ilikuwa inamtoka kuwatetea Mabeberu, ona Sasa usaliti wa Nchi umemsababishia laana
Uthibitisho wa Lissu kuwa ni fisadi upo wapi au unajifurahisha tu na porojo za hapa na pale?Ripoti ya CAG ilithibitisha kuwa Magufuli alipiga 1.5 trillion.Ni ufisadi wa karne
 
Duh! Baada ya kazi ya faragha kati yako wewe na Magufuli, sasa ndiyo umekuja kutupa mrejesho wa uanaume wake. Hongera kwa kukuridhisha ipasavyo.

Ewaaaa nimeridhika kwelikweli.
Na wa Tanzania wengi walioridhika kama mimi watasema tarehe 28 October
Upo kichwa kikubwa????
 
Noah zitalipwaje wakati msaliti wa Nchi alikuwa anawatetea Mabeberu ?
1. Yale matrilion (TZS 400 trillion) zililipwa?
2. Noah zetu tulizoahidiwa zimekuja?
3. Million 50 kila kijiji zimegaiwa?
Niliyouliza hapo juu ndiyo matunda ya kupigania rasilimali zetu za madini.
 
wanawake weusi wanateseka sana kwenye huu utawala.

WANAWAKE WEUSI wana jambo lao 28-10-2020.
Hatuna habareeee jambo letu lipo palepale tarehe 28 October kura zote ni kwa John Pombe Magufuli
 
Hawa ndiyo wananchi wa Tanzania ambao jiwe anawadanganya wanampigia kura angalia kinachowatokea? hakuna aliyelipwa baada ya kubomolewa nyumba, hakuna aliyeongezewa mshahara miaka mitano, 2015 hivi vitu viwili aliviongelea sana kusema atavifanya, ile kaingia tu ikulu akabadilika 100% alafu bado kuna tako linakuja linasema magufuli chaguo la sijui jini gani, aliyewaroga watanzania alafu akajinyonga mbaya sana, machizi wengi sana.
Huyu dogo nimemuona imeniuma sana, hana uwezo wowote ule wa kufanya chochote, jiwe limekaa na bashite wanakunywa wine tu, serikali ilishindwa kuwalipa watu inaowahamisha? stupid monkeys

Acha kupandikiza chuki watanzania wanaelewa kwamba kuna sheria na taratibu kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom