Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Inshi ona ili nalo.🤐🤐Naomba nikwambie kuwa magufuli hakuwahi kushinda wala kushindwa kwa kuwa ni muoga kuingia kwenye ushindani ,nasi watanzania tutamwadhibu kwa makosa yafuatayo
1.kuiba na kula rambirambi
2.Wizi wa 1.5 trillion
3.Ukandamizaji wa haki za binadamu
4.ubaguzi
5.Uongo na ahadi zisizotekelezeka mfano Noah kwa kila mtanzania na zile 50 mln kwa kila kijiji
6.utekaji na mauaji
7.kujificha wakati wa majanga mfano covid19 na Ajali ya MV nyerere
8.Udhalilishaji wa wanawake majukwaani
9.Hajatimiza moja ya masharti ya kugombea urais yanayosema kuwa lazima mgombea ajue "kuongea na kuandika kiswahili na kingereza kwa ufasaha"
10.Ameiba aridh huko karagwe 25000 hekari
Ha ha ha haNi mweupe sana wa kujenga hoja, Analeta masikhara tu...
Lowassa ilikuwa raisi kumsafisha si ndio.!Kwa madudu aliyoyafanya magufuli ni ngumu hata kumsafisha
Vyote hivyo alivyoviahidi Dodoma amevitekeleza na kwa kuthibitisha hilo upinzani hawatapata Jimbo hata moja .Dodoma alituahidi. 2017-20.
1. Ujenzi wa uwanja mkubwa wa kisasa wa michezo kushirikiana na mfalme wa Moroco ameshindwa.
2. Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko kuzunguka Dodoma jiji. Ring road Ameshindwa.
3Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato ameshindwa.
4. Ujenzi wa Hospital ya Uhuru baada ya kukata fedha za sherehe maazimisho ya uhuru day.
5.Kiingereza kimemshinda.
Hii ni Dodoma sijui huko mikoani?
Uchaguzi huru na haki bila kubebwa na polisi au tume CCM kupata wabunge 10 nchi nzima naweza kuhamia Mogadishu rasmiVyote hivyo alivyoviahidi Dodoma amevitekeleza na kwa kuthibitisha hilo upinzani hawatapata Jimbo hata moja .
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweliWewe acha unafki eti hajawahi kushindwa mbona juzi tuu ameshindwa kuongea kidhungu fresh?? "No mazasi ,No fazasi ,No Brazasi,No ankozi ,bati ai kanti lichi yuu"....Acha kuchanganya wapiga kura nyau wewe
Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi.Magufuli amewahi kushindwa ktk kura za maoni za CCM alipotia nia ya ubunge kwa mara ya kwanza mwaka 1990.
Ukweli uneshapewa hapo juu! Magufuli ni failure toka enzi na enzi. Soma kipande cha story hapo juu.Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli
Pumba kabisaNaomba nikwambie kuwa magufuli hakuwahi kushinda wala kushindwa kwa kuwa ni muoga kuingia kwenye ushindani ,nasi watanzania tutamwadhibu kwa makosa yafuatayo
1. Kuiba na kula rambirambi
2. Wizi wa 1.5 trillion
3. Ukandamizaji wa haki za binadamu
4. Ubaguzi
5. Uongo na ahadi zisizotekelezeka mfano Noah kwa kila mtanzania na zile 50 mln kwa kila kijiji
6. Utekaji na mauaji
7. Kujificha wakati wa majanga mfano covid19 na Ajali ya MV nyerere
8. Udhalilishaji wa wanawake majukwaani
9. Hajatimiza moja ya masharti ya kugombea urais yanayosema kuwa lazima mgombea ajue "kuongea na kuandika kiswahili na kingereza kwa ufasaha"
10. Ameiba aridh huko karagwe 25000 hhek
Sasa ni wakati wa Tanzania kukombolewa na Watanzania wenyewe kutoka kwa mabedui wa kijani waliolitafuna Taifa hili kwa 50+ years.Rais Magufuli ni kama aliteremshwa na Mungu kuja kuikomboa Tanzania
Sasa ni wakati wa Tanzania kukombolewa na Watanzania wenyewe kutoka kwa mabedui wa kijani waliolitafuna Taifa hili kwa 50+ years.