Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Acha kupandikiza chuki watanzania wanaelewa kwamba kuna sheria na taratibu kwa kila kitu
Hizo ndizo excuse ambazo vilaza hua mnarukia, haha maneno hayohayo yanasemwa na polisi wa chama cha majambazi, kila kitu kisingizio ni "kupandikiza chuki" "mabeberu" "uharibifu wa amani" tafuteni kisingizio kingine, jiwe lenu si mungu ni binadamu ka wengine tu, naona kushika kikapu cha sadaka kanisani kumewachanganya sana akili
 
ofisi ya chama tu pale kinondoni mmeshindwa! a very basic need
 
Hahahahhahaa Dah Akijenga Mtasemaje Mtasifia Kweli? ebu acheni unafkiTunawajua BAVICHA MAGUFULI HANABJEMA KWENU
 
Mshukuru sana Mungu kwa kukupa huyo unayemwita jiwe kuwa rais wako vinginevyo ungeshakufa kwa CORONA, msongo wa mawazo au kwa njaa
 
Vipi mahakama ya ufisadi ilianzishwa na je unataka kusema mafisadi waliopaswa kuburuzwa kortini hawapo? You can't be serious
 
Noah zitalipwaje wakati msaliti wa Nchi alikuwa anawatetea Mabeberu ?
Mabeberu? Lol! Magufuli mwenyewe anaishi kwa hisani ya mabeberu. Anatekeleza miradi yake kwa hisani ya mabeberu.
Mabeberu ni kama maji. Usipoyanywa, utayaoga. Usipoyaoga, utayafulia nguo. Usipoyafulia nguo, utayachambia. Usipoyachambia, utayatumia shambani.
Upo hapo weye bia yao.
 
Yaani hapa jukwaani kila mtu anaongelea tuta, sisi , wakati kila mtu ana nafsi moja na kura moja!
 
Ewaaaa nimeridhika kwelikweli.
Na wa Tanzania wengi walioridhika kama mimi watasema tarehe 28 October
Upo kichwa kikubwa????
Kweli kabisa, na ulivyo mweupe jiwe anakufaidi ipasavyo. Maana yeye (Magufuli) na wanawake weupe ni damu damu kwake.
Na ni vema ukalipe fadhira siku hiyo ya tarehe 28 kwa jinsi anavyokuridhisha
 
Mabeberu yanatitegemea sisi bila sisi Waafrika yatarudi kwenye ufukara

Tatizo msaliti wa Nchi anawaaminisha Mabeberu ni watu wa muhimu sana
 
Mpaka Sasa mengi hamemshinda,ni Bora ukasaidia kuainisha maeneo ambapo mapungufu yapo kwa maana ya kumsaidia. Vingine yo muda sii rafiki na maslahi thyapatayo kupitia kwake yanaenda kukoma hivi karibuni kwa kishondo kuu.
 
Mabeberu yanatitegemea sisi bila sisi Waafrika yatarudi kwenye ufukara

Tatizo msaliti wa Nchi anawaaminisha Mabeberu ni watu wa muhimu sana
OK! Ila tambua nchi hii siyo ya watu wa bia bia, wala si watu wa pombe pombe. Ni nchi ya watakatifu na wazalendo tukiongozwa na kamanda Lissu aliyefufuka kutoka wafu kuja kuwakomboa Watanzania wanaoangamizwa na kemikali za pombe na bia.
 
Msaliti wa Nchi hawezi kufufuka, huyo aliachwa ili ajutie kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
OK! Ila tambua nchi hii siyo ya watu wa bia bia, wala si watu wa pombe pombe. Ni nchi ya watakatifu na wazalendo tukiongozwa na kamanda Lissu aliyefufuka kutoka wafu kuja kuwakomboa Watanzania wanaoangamizwa na kemikali za pombe na bia.
 
Kweli kabisa, na ulivyo mweupe jiwe anakufaidi ipasavyo. Maana yeye (Magufuli) na wanawake weupe ni damu damu kwake.
Na ni vema ukalipe fadhira siku hiyo ya tarehe 28 kwa jinsi anavyokuridhisha
Sasa mbona unongea sanaaaaa au ndio wivu

Narudia kukuambia kwamba John Pombe Magufuli ni mwanaume wa Karne, kiboko ya CORONA dunia nzima, Mzee wa uchumi wa kati, BABALAO
TAREHE 28 TUNACHUKUA TUNAWEKA WAAπŸ˜‚πŸ˜‚
NA TAREHE 29 TUNAKULA BIRTHDAY YAKE NA YANGU TUKIWA NA USHINDI MEZANI😍 HUTAKI HAMA NCHIπŸ’₯
 
Magufulification of Africa. JPM the breath of fresh air. Mungu akutunze kipenzi cha watanzania.
 
Magufulification of Africa. JPM the breath of fresh air. Mungu akutunze kipenzi cha watanzania.

Magufulification of Africa. JPM the breath of fresh air. Mungu akutunze kipenzi cha watanzania.

Comment of the day😍😍😍😍😍😍😍
 
Mwenye kukuelewa ni yule asomae kinyume.
Alijipitisha bila kupingwa pia yeye ndo muasisi founder wa kupita bila kupingwa chaguzi za mitaa ni copy and paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…