Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Nani wa kumshinda JPM? Ni huyu CHAKUBWATA aka DOMOTUSI?
Hata kwa kutazama tu, JPM kashashinda tayari, anasubiri kuapishwa tu.
 
Una mihemko Punguza haraka wakati wa kujenga hoja Mengi uliyoandika ni chuki binafsi..Unafanya bata aliyefunika kichwa chini kwenye mchanga
 
Mkuu nadhani umekosea kwenye kichwa cha habari ilikuwa kisomeke "
Magufuli hajawahi kushinda, hatashinda". Moderator please msaidie mleta uzi kwa kuondoa herufi 'w' kwenye neno 'kushindwa' ili liwe 'kushinda' badala yake.
Wewe umekuwa msemaji wake au? Anzisha bango lako la hivyo
 
Najua Magufuli ni mpenzi wa mungu na hasemagi uongo.Muulize 2015 ilikuwaje
Hasira zote za kutoruhusu ufanyaji wa siasa kwa wanasiasa wa upinzani ni kutokana na kujua meza ilivyopinduliwa 2015.
Mwaka huu kuna mawili tu.
Moja ni akubali matokeo ya upinduaji meza na pili akubali matokeo halisi.
 
Tundu Lissu hajawahi kushindwa kama alikishinda kifo mlicho kusudia hapo unataka ushahidi gani kuwa Lissu ndiye mshindi?
Unatumia maneno magumu - hata wewe umeshinda kifo mara nyingi lkn yako mambo mengi umeyajaribu ukakwama

Nimesema Dkt Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - reseave my words kisha tukutane 30 Oktoba, 2020
Rais Magufuli ni nabii anaitendea Tanzania mambo makubwa
Hawatakuelewa, wanaona upande mmoja tu
 
Safari yenu ya kurudi kwenu Burundi imewadia
 
Naomba takwimu kwanza za kiwango cha elimu cha watu wa biharamulo alaf tuangalie kiongozi wao alikuwa anawaongoza watu wa namna gani
 
Magufuli amewahi kushindwa ktk kura za maoni za CCM alipotia nia ya ubunge kwa mara ya kwanza mwaka 1990.
Afadhari umemwambia, maana hawa ccm wanatufanya sisi wajinga sana, hatuna akili. Kitambulisho kisicho na picha wanakopea benk za baba zao
 
Uthibitisho wa Lissu kuwa ni fisadi upo wapi au unajifurahisha tu na porojo za hapa na pale?Ripoti ya CAG ilithibitisha kuwa Magufuli alipiga 1.5 trillion.Ni ufisadi wa karne
Wewe hukusoma hiyo ripti ya CAG bali unadakia maneono ya Zitto tu. Ripoti zote za CAG ziko mtandanoni wala siyo siri; jipe muda uzisome kwanza ndipo ufikiri kama kweli hoja hii ya 1.5 trilioni ni ya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…