Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mihemko Punguza haraka wakati wa kujenga hoja Mengi uliyoandika ni chuki binafsi..Unafanya bata aliyefunika kichwa chini kwenye mchangaNaomba nikwambie kuwa magufuli hakuwahi kushinda wala kushindwa kwa kuwa ni muoga kuingia kwenye ushindani ,nasi watanzania tutamwadhibu kwa makosa yafuatayo
1. Kuiba na kula rambirambi
2. Wizi wa 1.5 trillion
3. Ukandamizaji wa haki za binadamu
4. Ubaguzi
5. Uongo na ahadi zisizotekelezeka mfano Noah kwa kila mtanzania na zile 50 mln kwa kila kijiji
6. Utekaji na mauaji
7. Kujificha wakati wa majanga mfano covid19 na Ajali ya MV nyerere
8. Udhalilishaji wa wanawake majukwaani
9. Hajatimiza moja ya masharti ya kugombea urais yanayosema kuwa lazima mgombea ajue "kuongea na kuandika kiswahili na kingereza kwa ufasaha"
10. Ameiba aridh huko karagwe 25000 hekari
Si bora vyake vinaonekana?, hata ofisi pale ufipa imewashinda kupaka rangiKwa madudu aliyoyafanya magufuli ni ngumu hata kumsafisha
Wewe umekuwa msemaji wake au? Anzisha bango lako la hivyoMkuu nadhani umekosea kwenye kichwa cha habari ilikuwa kisomeke "
Magufuli hajawahi kushinda, hatashinda". Moderator please msaidie mleta uzi kwa kuondoa herufi 'w' kwenye neno 'kushindwa' ili liwe 'kushinda' badala yake.
Hapana mkuu, mimi si msemaji wa yoyote humu ndani. Ila nilichoandika ni fact. Magu ni ama hashindani au akishindana hashindi.Wewe umekuwa msemaji wake au? Anzisha bango lako la hivyo
Hasira zote za kutoruhusu ufanyaji wa siasa kwa wanasiasa wa upinzani ni kutokana na kujua meza ilivyopinduliwa 2015.Najua Magufuli ni mpenzi wa mungu na hasemagi uongo.Muulize 2015 ilikuwaje
Unatumia maneno magumu - hata wewe umeshinda kifo mara nyingi lkn yako mambo mengi umeyajaribu ukakwamaTundu Lissu hajawahi kushindwa kama alikishinda kifo mlicho kusudia hapo unataka ushahidi gani kuwa Lissu ndiye mshindi?
Hawatakuelewa, wanaona upande mmoja tuRais Magufuli ni nabii anaitendea Tanzania mambo makubwa
Safari yenu ya kurudi kwenu Burundi imewadiaUnatumia maneno magumu - hata wewe umeshinda kifo mara nyingi lkn yako mambo mengi umeyajaribu ukakwama
Nimesema Dkt Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - reseave my words kisha tukutane 30 Oktoba, 2020
Hawatakuelewa, wanaona upande mmoja tu
Duuu, tukienda Burundi huenda wewe ukaenda Eritilia au Somalia. Nadhani unapata taabu coz ya kuwa single sidedSafari yenu ya kurudi kwenu Burundi imewadia
For sure, JPM kafanya makubwa sana kwa muda mfupi na ni mzalendo kwa taifa lakeKwa sasa watanzania wengi wamesha funguka wanatazama maendeleo zaidi
Afadhari umemwambia, maana hawa ccm wanatufanya sisi wajinga sana, hatuna akili. Kitambulisho kisicho na picha wanakopea benk za baba zaoMagufuli amewahi kushindwa ktk kura za maoni za CCM alipotia nia ya ubunge kwa mara ya kwanza mwaka 1990.
Wewe hukusoma hiyo ripti ya CAG bali unadakia maneono ya Zitto tu. Ripoti zote za CAG ziko mtandanoni wala siyo siri; jipe muda uzisome kwanza ndipo ufikiri kama kweli hoja hii ya 1.5 trilioni ni ya kweli.Uthibitisho wa Lissu kuwa ni fisadi upo wapi au unajifurahisha tu na porojo za hapa na pale?Ripoti ya CAG ilithibitisha kuwa Magufuli alipiga 1.5 trillion.Ni ufisadi wa karne