Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hivi kweli rais wetu Magufuli amefikia levels za UDIKTETA?!!really?!!!MADIKTETA yote duniani huwa yakimalizana na watu pembeni, kitakachofuata ni watu wake wa karibu.
Mkuu dikteta anatakiwa awe vipi ?Hivi kweli rais wetu Magufuli amefikia levels za UDIKTETA?!!really?!!!
It's so overrated...
Nakumbuka Mh.Kikwete alifikia Kuitwa dikteta na baadhi ya wanasiasa ikafikia siku akasema "hivi kweli mm ni dikteta"?!!!
Akaendelea kusema "katiba yetu imenipa mamlaka makubwa ndani ya ile PRESIDENTIAL DECREE na hakika sijatumia hata power kubwa ndani ya hii katiba yetu" mwisho wa nukuu.
Tunayakuza mambo kwa kuchafuana kulikopindukia.....
Kwani kila muswada unaopitishwa na bunge ni sahali kusainiwa na rais ili Kuwa SHERIA?!!!!"Mimi nilishatangaza kuwa ni kipindi changu cha mwisho lakini Bunge limenilazimisha kuendelea kuongoza" alisikika jamaa mmoja akisema wakati huo
Mimi sina hata wembe, na kwakuwa MADIKTETA yanapenda damu ysnatamani kumwaga ili ninyi vibaraka mfurahie.Huu ujinga sijui mnautoa wapi...
Si uandamane wewe kesho ukakutane nao uonekane na wao kweli wewe jasiri
Wakati huo huo, MBOWE NA CHADEMA NA UPINZANI WOTE WALIIMBA HUU WIMBO:Mkuu dikteta anatakiwa awe vipi ?
Ukiachana na Term limits ( ambayo na yenyewe iko shakani ) kwenye Demokrasia Tanzania ni nini TUMEBAKIZA.
Any checks and balances ?
Kama kuwaita marais Kuwa ni madikteta basi hatobaki hata mmoja hata wazee wa demokrasia pale kwa bwana TRUMP.....Mkuu dikteta anatakiwa awe vipi ?
Ukiachana na Term limits ( ambayo na yenyewe iko shakani ) kwenye Demokrasia Tanzania ni nini TUMEBAKIZA.
Any checks and balances ?
....na katibu mkuu John Mnyika akasema wewe JAKAYA KIKWETE ni rais LEGELEGE kupata kutokea nchini...kwa hiyo waliomtangulia KIKWETE walikuwa ni madikteta eeee na wakataka wampate dikteta Mwingine?!!!Wakati huo huo, MBOWE NA CHADEMA NA UPINZANI WOTE WALIIMBA HUU WIMBO:
TANZANIA INAHITAJI RAIS DICTATOR.....
Umesahau kuwa alishasema kuwa bunge likishapitisha muswada yeye hana muda wa kuusoma anasaini hapo hapo?Kwani kila muswada unaopitishwa na bunge ni sahali kusainiwa na rais ili Kuwa SHERIA?!!!!
IMESHASIKIKA SAUTI KUWA "hiki ni kipindi changu cha mwisho".
Watanzania wameona uwakilishi wa vyama vingine unakwamisha shughuli za maendeleo. ndio maana ushindi wa kishindo umeenda kwa CHAMA CHA MAPINDUZIKama wangeshinda kihalali, hao walioshinda!
Nyumbani kwako umpaachaje?Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Huu ujinga sijui mnautoa wapi...
Si uandamane wewe kesho ukakutane nao uonekane na wao kweli wewe jasiri
Umeshasahau ya yeye kusema analala usiku sana kwa Sababu ya kusoma VITABU VYA BUNGE NA SERIKALI na kufikia kuvifanya MITO kitandani pake?!!!Umesahau kuwa alishasema kuwa bunge likishapitisha muswada yeye hana muda wa kuusoma anasaini hapo hapo?
Kuna wasouth Afrikan wakishirikiana na makaburu nahawakuona umuhimu wakuandamana lkn leo hii wanafurahia kuondoka kwa ubaguzi.kwahio watu kama wewe ambao wanaangalia matumbo yao hawakosekani katika jamii.Nyumbani kwako umpaachaje?
Au ndo bachelor alafu yatima
Au ushapata fungu lako Na tiketi yako mnaenda kuwaumiza wanyonge road.....Hiv huo muda wenzio wallet zimejaa ....alafu umeoa kweli Kama vipi nenda Na mkeo kabisa
Umesahau kuwa alishasema kuwa bunge likishapitisha muswada yeye hana muda wa kuusoma anasaini hapo hapo?