Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

watanzania wameona uwakilishi wa vyama vingine unakwamisha shughuli za maendeleo. ndio maana ushindi wa kishindo umeenda kwa CHAMA CHA MAPINDUZI
Ni wapinzani wanakwamisha maendeleo Au ni mwenyekiti wa CCM anagoma kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayo ongozwa na wapinzani?!
 
Hata wapambe wake hawajui itakuwaje
 
Ulamaa Pohamba tafadhali amini sio hashtag kesho mapema niko viunga vya tume ya taifa, na wakileta mchezo tutazuia magari ya Morogoro road, watu washindwe kutoka na kuingia, lakini mwisho wa siku tutasikiliza maagizo ya viongozi wetu.
Mnajisumbua tu
 
Tumuamini hataki tena?? πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
Bure tamu!!

Everyday is Saturday................................😎
 
Tusubir kesho we pimbi. Kipindi Wakina Kawawa wanapigania Uhuru mzee wako au babu yako hakushiriki lkn kunakipindi ulifurahia nchi, kwahio hata kesho sitegemei pimbi kama wewe uwepo.
Laiti ungalijua lililopangwa, imagine mkawa regarded kama wavamizi kutoka nje. Just imagine wakati unalia mguuuu mguuuu, kiunooo uwiiii unasikia mlio wa taya kwaaach, taya limevunjwa.

Kama kweli utatoka nakushauri toka tu na silaha na aga unaenda vitani. Hakuna amani utakapokuwa unaenda.

Ni ushauri tu mkuu sikukatishi tamaa. Best of luck.
 
Rashid Gwajimaa Alikuwepo!! Anapanua Huduma
Ushindi Wa Ujanjaujanja HaaπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„
 
Viongozi wetu washatoa maelekezo nikesho, mtupige hizo risasi zenu Kisha tuone kama nyie mtaisha kwa amani na mustarehe.
Moja wa viongozi wako alikata "two ways ticket" kutoka Brussels to Dar na Kurudi Nyumbani Ubelgiji...ingia barabarani kwa shida zako tu ili kwenu wavune matokeo!
 
Sina ajira toka 2014 na chuo nilimaliza sikuwahi sikia Zitto akipigania niajiliwe Vipi Leo nihangaike na ajira yake? Aje tusote wote mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…