Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Kesho ntakuwa hapo Morogoro road natak nione wa kunizuia.Ulamaa Pohamba tafadhali amini sio hashtag kesho mapema niko viunga vya tume ya taifa, na wakileta mchezo tutazuia magari ya Morogoro road, watu washindwe kutoka na kuingia, lakini mwisho wa siku tutasikiliza maagizo ya viongozi wetu.
Wabongo wanajifanya wanajua demokrasia na maendeleo kuliko China na Russia [emoji16][emoji16], Magufuli for life wabunge wetu wasituangushe tu Magufuli anatakiwa abaki for 30+ years
Naamini utakua mstari wa mbele ukingoza mabangoTukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Hakika.Naaamini utakua mstari wambele ukingoza mabango
Hakika mkuu nami ntakuwepo mahali viongozi wetu kulingana na maelekezo ya viongozi wetu.Kesho ntakuwa hapo Morogoro road natak nione wa KUNIZUIA... maanina..
Mbn mnaanza kujiteteaa (Melekezo ya Viongozi)??!Hakika mkuu nami ntakuwepo mahali viongozi wetu kulingana na maelekezo ya viongozi wetu.
[emoji837]BREAKING NEWZ: [emoji837]Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
polen sana..kihalisia wamekosea sana.Mishe zinadorola kwa sisi wafanya biashara za mtandaoni.
Hawezi. Afya yake mgogoro.Kama Bunge likiamua kumuongezea muda kwa kubandika kiraka katiba nadhani muheshimiwa Rais atakubali.
Tukutane kesho.
Kama huna majukumu, nenda road. Utakutana na wenye majukumu.Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Mwache aendelee kuropoka ila Mungu anaweza kutenda kitu. Najua huyu hawezi kutoka kwa karatasi bali atafia madarakani.
Mpauko wa uso unaonyesha kabisa Meko ni spana mikononi, huku gridi ya Taifa na huku kifuani pacemaker. Tuzidishe maombi
Waaambie Kwanza wawajulie Hali jirani zao.......uku mbali sana ..........shortly hayawahusu .......
Wapumbavu wacanada njaa sana siku hizi. Tunawapiga tafu tunanunua ndege kwenu lakini tamaa itawauwa