Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Mama mkanye mwanao,,, Kuna depo jipya Hao wanapiga balaa, wanasubili maandamano ili wamalizie mafunzo Yao kwa vitendo. Wakitaka tuandamane basi kwanza watangulize familia zao mbele alafu Akina sie nzala tee tutafuata nyuma......
 
Ulamaa Pohamba tafadhali amini sio hashtag kesho mapema niko viunga vya tume ya taifa, na wakileta mchezo tutazuia magari ya Morogoro road, watu washindwe kutoka na kuingia, lakini mwisho wa siku tutasikiliza maagizo ya viongozi wetu.
Kesho ntakuwa hapo Morogoro road natak nione wa kunizuia.
 
Wabongo wanajifanya wanajua demokrasia na maendeleo kuliko China na Russia [emoji16][emoji16], Magufuli for life wabunge wetu wasituangushe tu Magufuli anatakiwa abaki for 30+ years

Weuweeeeeeeee
 
Mh Rais.. tunashukuru ila tunaomba NEC watwambie imekuaje karatasi za kupigia kura zimeletwa zikiwa zimesha pigwa kura. Kuna raia tulikosa karatasi. Ni hayo tuu.
IMG_20201030_214609.jpeg
 
Hakika mkuu nami ntakuwepo mahali viongozi wetu kulingana na maelekezo ya viongozi wetu.
Mbn mnaanza kujiteteaa (Melekezo ya Viongozi)??!

Wewe si kiherehere.. kesho kazuien hayo Magari muone... Na nilivyo siwapendi nyie mbwa
 
Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
[emoji837]BREAKING NEWZ: [emoji837]
[emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845]TAREHE 02/11/2020 SIKU YA USAFI TANZANIA NZIMA

[emoji1241]JESHI LA WANANCHI TANZANIA JWTZ LIMEPANGA KUFANYA USAFI NCHI NZIMA KUANZIA KESHO TAREHE 02/11/2020.

[emoji1241]USAFI HUO UMEPANGWA KUFAYIKA KUANZIA ALFAJILI YA TAREHE 02 MIKOA YOTE YA BARA NA VISIWANI. TAARIFA ZINAELEZA KUWA MPANGO HUO UTAKUWA ENDELEVU HADI PALE HALI YA USAFI UTAKAPOTENGEMAA NA KURIDHISHA.

[emoji1241]JWTZ WAMEAMUA KUJITOLEA KUWATUMIKIA WANANCHI WOTE, USAFI HUO UTAFANYIKA MIKOA YOTE WILAYA ZOTE MIJINI NA VIJIJINI.

[emoji1241][emoji7][emoji7]JWTZ WAMEOMBA USHIRIKIANO KUTOKA KWA WANANCHI WOTE.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Kama huna majukumu, nenda road. Utakutana na wenye majukumu.

Nchi hii atawale CCM au CHADEMA, bado maisha yatakuwa yaleyale japo kuna raha ya kutawaliwa na viongozi waliopatikana kwa halali. Legitimacy ni muhimu sana.

Maandamano hayataiindoa ccm madarakani, sababu hata CCM wana wafuasi tena wengi.

Njia mbadala itumike
 
Ndumilakuwili....
Tunaanzia pale tulipo
ajenda ya ndugai
 
Mwache aendelee kuropoka ila Mungu anaweza kutenda kitu. Najua huyu hawezi kutoka kwa karatasi bali atafia madarakani.

Mpauko wa uso unaonyesha kabisa Meko ni spana mikononi, huku gridi ya Taifa na huku kifuani pacemaker. Tuzidishe maombi
 
Kamanda hayo ni mawazo yako
Mwache aendelee kuropoka ila Mungu anaweza kutenda kitu. Najua huyu hawezi kutoka kwa karatasi bali atafia madarakani.

Mpauko wa uso unaonyesha kabisa Meko ni spana mikononi, huku gridi ya Taifa na huku kifuani pacemaker. Tuzidishe maombi
 
Kwa mfano Katiba ikabadilishwa ili akae kipindi cha miaka 10 consecutive na bila uchaguzi itakuwaje? Kinaweza kuwa kipindi cha mwisho lakini kirefu.
 
Back
Top Bottom