Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

polen sana..kihalisia wamekosea sana.
Wakubwa wanaangalia matumbo yao tu, wanatusahau wenye mitaji ambayo hairuhusu hata siku moja ulale. Si haki hata kidogo. Wao walishashiba, hili wanalolifanya siyo sawa.
 
Screenshot_20201101-195743.png
 
Atalazimishwa na wabunge itabadilishwa katiba nakuwa na mihura 2 lakini ya 7-8 yrs nakuambiwa aanze yeye kutumikia hiyo miaka!
 
Tayari uoga umeingia kambi ya CCM Mpya, haingii akilini juhudi zote hizi za kununua wapinzani, kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji kwa 98% mwezi November 2019.

Kisha kufanya kila aina ya rafu ktk mchakato mzima kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 ili kupata asilimia 99% ya wabunge bungeni na urais 86% bila kusahau kuingilia uhuru wa mhimili wa Mahakama, mhimili wa Bunge, kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kufanikisha adhma ya hayo yote halafu unauambia ulimwengu na wanaLumumba kuwa mitano tena imetosha!
 
Mwizi huyo wala hata weza kukidhi haja za watanzania kwa sababu amewadhulumu HAKI yao ya kuongozwa na viongozi tunaowapenda
 
Hamalizi miaka 5. Tafuta bwana mwingine. Unatumwa tu kama mbwa
Bahati yako tu unaandamana nyuma ya keyboard, ungekuwa sio mbwa koko ukaingia road,sina shaka ungetangulia kabla hata ya kuapishwa kwake.

Kila siku tunawaambia nyinyi hamna chochote zaidi ya kubweka kwenye mitandao, haya yale maandamano yenu yako wapi?😂
 
Tusubir kesho we pimbi. Kipindi Wakina Kawawa wanapigania Uhuru mzee wako au babu yako hakushiriki lkn kunakipindi ulifurahia nchi, kwahio hata kesho sitegemei pimbi kama wewe uwepo.
Wewe kweli kiazi, haya tuambie umeandamania sehemu gani leo???
 
Hiki ni kipindi changu cha mwisho.
Kwani ulipanga uendelee??
 
Back
Top Bottom