Buza Kwa Mpalange
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 268
- 156
Hata Kagame alishawahi kusema ifikapo 2010 itakuwa mara ya mwisho kutawala, lakini mpaka leo yupo yupo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano katiba ikabadilishwa ili akae kipindi cha miaka 10 consecutive na bila uchaguzi itakuwaje? Kinaweza kuwa kipindi cha mwisho lakini kirefu.
Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Wakubwa wanaangalia matumbo yao tu, wanatusahau wenye mitaji ambayo hairuhusu hata siku moja ulale. Si haki hata kidogo. Wao walishashiba, hili wanalolifanya siyo sawa.polen sana..kihalisia wamekosea sana.
Lakini pia huenda wewe ukaondoka hata kabla hajaapishwa.Nilikuja hapa kuandika hili hili. Kwa laana aliyojitwisha, sidhani kama atamaliza...
Sawa dada wa kuvua.Sawa kamanda
Utatangulia wewe.Nilikuja hapa kuandika hili hili. Kwa laana aliyojitwisha, sidhani kama atamaliza...
Wakina Museveni na Kagame walianza hivihivi!Kwani hatujui mpaka aseme?
Baadae atadai Bunge limemlazimisha!Why anajihami?
Bado tuna muhitaji Sana
Bahati yako tu unaandamana nyuma ya keyboard, ungekuwa sio mbwa koko ukaingia road,sina shaka ungetangulia kabla hata ya kuapishwa kwake.Hamalizi miaka 5. Tafuta bwana mwingine. Unatumwa tu kama mbwa
Wewe kweli kiazi, haya tuambie umeandamania sehemu gani leo???Tusubir kesho we pimbi. Kipindi Wakina Kawawa wanapigania Uhuru mzee wako au babu yako hakushiriki lkn kunakipindi ulifurahia nchi, kwahio hata kesho sitegemei pimbi kama wewe uwepo.