OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
jana walisombwa mkoa mzima kujaa pale taifaHuelewi nn sasa
Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi lazima akomae.
Sasa nyie endeleeni na kutafuta Kura maeneo ya watu wachache.
Kwani vipii?TAARIFA:
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
My Take
Mbona hivi
Nyakati zimebadilika mangi, ulitaka afanyie kampeni chumbani?TAARIFA:
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
My Take
Mbona hivi
Mtajuta najua mnamchukia ila hamkosi kumpost kwa zaira zake na mazuri yake .sisi wanaccm hatuwezi kumpost tundu kwa lolote hapaTAARIFA:
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
My Take
Mbona hivi
Mmekatazwa na nyie kusomba?jana walisombwa mkoa mzima kujaa pale taifa
Sasa ulitaka CCM wanachama wake waende kwa miguu? Hivi kuna mwanachadomo atakubali kusombwa aende uwanjani??jana walisombwa mkoa mzima kujaa pale taifa
Mbona hivi nini?? Si mlisema myonjwa , sijui kapumzika! tulieni taratibu tu dawa iwaingie! .Mnamfatilia sana JPM mnasahau yakwenu! .
Sasa ulitaka CCM wanachama wake waende kwa miguu? Hivi kuna mwanachadomo atakubali kusombwa aende uwanjani??
Mkuu gari bovu..TAARIFA:
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
My Take
Mbona hivi
Huyu si ndiye alikuwa akimkebehi Mzee Lowassa mwaka 2015 kwa kupiga "push ups" hadharani na wapambe wake!? Nyakati hizi kulikoni? We acha Mungu aitwe tu Mungu, kwa kuwa Yeye ndiye Muumbaji, kwa hiyo sifa na utukufu ndiye pekee mwenye kuzistahili.TAARIFA:
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
My Take
Mbona hivi
98% ya kufanyiwa utafiti Lumumba nawewe unakuja kupest humu hata sishangai...Rais Magufuli ushindi ni 98%
Watanzania tutampigia kura hata asipopiga kampeni
Ameifanyia Tanzania makubwa
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.Rais Magufuli ushindi ni 98%
Watanzania tutampigia kura hata asipopiga kampeni
Ameifanyia Tanzania makubwa
Huu utopolo peleka Ufipa!Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.
Awamu ya Rais Magufuli kuna mazuri yamefanywa. Kuna mabaya mengi pua yamefanywa. Lakini mazuri yaliyoyafanyika hayafikii hata 10% ya wakati wa Mwalimu, wala hayafikii hata 25% ya wakati wa Mkapa, na wala hata 20% ya yaliyoyafanyika wakati wa awamu ya Kikwete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kesho watasombwa pia kwani tatizo liko wapi?! Wewe unateseka na wafuasi kupewa usafiri?! Wasombwe tu...wenye malori, bajajii, teksi, bodaboda, mikokoteni, punda, baiskeli na kadhalika wasombwe tu...the end justify the means...Kama wote wataipigia kura CCM wewe inakuhusu?! Mnaumia kwa CCM kusombwa na malori?! Nyie Chadema endeleeni kutembea kwa miguu CCM haiwahusu...jana walisombwa mkoa mzima kujaa pale taifa