Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kuendelea na kampeni Dar es Salaam

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
TAARIFA:

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

EkDGPnvWAAEIx6D.jpeg
EkDGRvbXgAA8x_6.jpeg

My Take
Mbona hivi
 
TAARIFA:

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

My Take
Mbona hivi
Kwani vipii?
 
Nyakati zimebadilika mangi, ulitaka afanyie kampeni chumbani?
 
TAARIFA:

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

My Take
Mbona hivi
Mtajuta najua mnamchukia ila hamkosi kumpost kwa zaira zake na mazuri yake .sisi wanaccm hatuwezi kumpost tundu kwa lolote hapa
 
Msiwazuie watu kuondoka wasanii wakimaliza maonesho yao, muwaache watu wajiamulie wanachotaka.
 
TAARIFA:

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

My Take
Mbona hivi
Mkuu gari bovu..
Baada ya juzi Taifa lipo gereji.
 
TAARIFA:

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea na Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

My Take
Mbona hivi
Huyu si ndiye alikuwa akimkebehi Mzee Lowassa mwaka 2015 kwa kupiga "push ups" hadharani na wapambe wake!? Nyakati hizi kulikoni? We acha Mungu aitwe tu Mungu, kwa kuwa Yeye ndiye Muumbaji, kwa hiyo sifa na utukufu ndiye pekee mwenye kuzistahili.
 
Rais Magufuli ushindi ni 98%
Watanzania tutampigia kura hata asipopiga kampeni

Ameifanyia Tanzania makubwa
98% ya kufanyiwa utafiti Lumumba nawewe unakuja kupest humu hata sishangai...
 
Rais Magufuli ushindi ni 98%
Watanzania tutampigia kura hata asipopiga kampeni

Ameifanyia Tanzania makubwa
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.

Awamu ya Rais Magufuli kuna mazuri yamefanywa. Kuna mabaya mengi pua yamefanywa. Lakini mazuri yaliyoyafanyika hayafikii hata 10% ya wakati wa Mwalimu, wala hayafikii hata 25% ya wakati wa Mkapa, na wala hata 20% ya yaliyoyafanyika wakati wa awamu ya Kikwete.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utopolo peleka Ufipa!
 
jana walisombwa mkoa mzima kujaa pale taifa
Na kesho watasombwa pia kwani tatizo liko wapi?! Wewe unateseka na wafuasi kupewa usafiri?! Wasombwe tu...wenye malori, bajajii, teksi, bodaboda, mikokoteni, punda, baiskeli na kadhalika wasombwe tu...the end justify the means...Kama wote wataipigia kura CCM wewe inakuhusu?! Mnaumia kwa CCM kusombwa na malori?! Nyie Chadema endeleeni kutembea kwa miguu CCM haiwahusu...
 
Back
Top Bottom