Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kuendelea na kampeni Dar es Salaam

Meko amekosa mvuto kwa watanzania. Aendelee kuzurura tu. Hawazi kushinda uchaguzi huu kamwe.

Watanzania wamemuelewa sana Tundu Lissu na ndiyo tumaini lao pekee.

Huyu dhalimu wa chama cha mboga, tupa kuleeeeeee!
 
Zaidi ya dodoma Hakuna chenu
Hata Dodoma hamna kitu zaidi ya vitishotisho tu, Ccm imebaki na vyombo vya dola tu, wengi wasichokijua hata Polepole haikubali ccm, Yupo pale kwa njaa tu.
 
Hii ni Nachingwea, Kusini kabisa mwa Tanzania.

Meko ndiye adui wao No. 1.
Your browser is not able to display this video.
 
Hata Dodoma hamna kitu zaidi ya vitishotisho tu, Ccm imebaki na vyombo vya dola tu, wengi wasichokijua hata Polepole haikubali ccm, Yupo pale kwa njaa tu.
Labda vyombo vya Euro na sio dola.Dola awajaongezewa mishahara Wana hasira nao hatari ukiwasikiliza Hawa wadogo wanataka mabadiliko,achilia Hawa mabosi zao ambao ni wanufaika.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
We uoni nyomi la bila wasanii.Safari hii mnagombea dhaifu Sana ombeni poo kwa tume mbadili mgombea mda inaruhusu bado.JK ndo anaweza okoa jahazi kupambana na Lisu.
 
Pamoja sana, tunahitaji uongozi wa vitendo wa JPM, kamata mitano kazi iendelee!
 
Magufuli anayatafuta majimbo ya Dar kwa msuli mkubwa
 
We uoni nyomi la bila wasanii.Safari hii mnagombea dhaifu Sana ombeni poo.JK ndo anaweza okoa jahazi kupambana na Lisu.
hakuna msanii anayejitambua anayeweza kwenda kumsikiliza mtu mwenye matatizo ya akili
 
Meko anajihangaisha bure tu. Hawezi kuchaguliwa tena na watanzania ambao amewasababishia waishi kama wakimbizi wakati wako kwenye ardhi yao waliyozaliwa.
Unadhani watanzania ni malofa?. Hatuwezi chagua kibaraka wa mabeberu. Kwa Sera zipi mlizonazo Chaga development fund and management a.k.a saccos?. Mnataka mtuuze kwa mabeberu wenu,muuze maliasili zetu, muuze standard gauge zetu, muuze ndege zetu kwa Wakoloni wenu hapana. Magufuli ni ushindi wa kishindo.
 
Hatumtaki Rais anayewatesa wastaafu, watumishi wa umma, wakulima, wafanyabiashara na hata wanafunzi wa vyuo vikuu.

Aende zake akafie mbele huko. Tundu Lissu atosha.
 
Leo alikuwepo wapi?
Sukari ilishuka sana jana baada ya kuona wasanii wanaondoka na wananchi wanaondoka na kumuacha peke yake uwanjani. Amepumzika leo na kuishia kumfokea Sana Polepole.
 
Huyo alipigwa risasi na wadai wake kwenye chama, serkali haiwezi kupoteza muda na mgonjwa wa akili
Mtaondoka duniani kabla yake japo mlitaka atangulie yeye mtatangulia kabla yake
 
Meko anajihangaisha bure tu. Hawezi kuchaguliwa tena na watanzania ambao amewasababishia waishi kama wakimbizi wakati wako kwenye ardhi yao waliyozaliwa.
Watanzania wa wapi unawazungumzia wewe?! Ni mtanzania wa wapi hao wanaishi Kama wakimbizi? Wewe Bila Shaka haupo Tanzania...hayo ni maneno ya beberu Robert Amsterdam.
Mtanzania anaishi Kama mkimbizi?! Yaani hapa TZ?! Nyie watu kweli mmeishiwa hoja...ni weupe kabisa...halafu ni waongo Kama Lissu wenu, mzee wa faragha, na imperialist stooge au kibaraka wa mabeberu...hiyo Oktoba 28 ndipo mtajua Kama watanzania wanaishi Kama wakimbizi ...mtapata kipigo kikubwa Cha kisiasa...mamilioni ya watanzania wamejiandaa kufanya Jambo kubwa nalo ni kumwadhibu Lissu kwa kura..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…