Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Zaidi ya dodoma Hakuna chenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya dodoma Hakuna chenu
Hata Dodoma hamna kitu zaidi ya vitishotisho tu, Ccm imebaki na vyombo vya dola tu, wengi wasichokijua hata Polepole haikubali ccm, Yupo pale kwa njaa tu.Zaidi ya dodoma Hakuna chenu
Labda vyombo vya Euro na sio dola.Dola awajaongezewa mishahara Wana hasira nao hatari ukiwasikiliza Hawa wadogo wanataka mabadiliko,achilia Hawa mabosi zao ambao ni wanufaika.Hata Dodoma hamna kitu zaidi ya vitishotisho tu, Ccm imebaki na vyombo vya dola tu, wengi wasichokijua hata Polepole haikubali ccm, Yupo pale kwa njaa tu.
We uoni nyomi la bila wasanii.Safari hii mnagombea dhaifu Sana ombeni poo kwa tume mbadili mgombea mda inaruhusu bado.JK ndo anaweza okoa jahazi kupambana na Lisu.Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Pamoja sana, tunahitaji uongozi wa vitendo wa JPM, kamata mitano kazi iendelee!UKINUNA UWE NA SABABU!.Mnaomfatilia JPM kutwa kucha ! na kusema mara oh! Sijui mgonjwa , mara mapumzikoni! .Hii hapa ratiba ya kampeni kuanzia kesho Jumatatu tar 12 hadi Jumatano tar 14, ambapp pia siku ya Jumatano atawaongoza watanzania kupokea mgao wa zaidi ya bilioni 100 kutoka Barrick Gold ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya kupitia mikataba ya madini na kutunga sheria zinazolinda madini na maliasili za Tanzania. JPM mitano tena!.
View attachment 1596861View attachment 1596862
We uoni nyomi la bila wasanii.Safari hii mnagombea dhaifu Sana ombeni poo.JK ndo anaweza okoa jahazi kupambana na Lisu.
Wasanii wanafata pesaView attachment 1596914 hakuna msanii anayejitambua anayeweza kwenda kumsikiliza mtu mwenye matatizo ya akili
Wasanii wanafata pesa
Unadhani watanzania ni malofa?. Hatuwezi chagua kibaraka wa mabeberu. Kwa Sera zipi mlizonazo Chaga development fund and management a.k.a saccos?. Mnataka mtuuze kwa mabeberu wenu,muuze maliasili zetu, muuze standard gauge zetu, muuze ndege zetu kwa Wakoloni wenu hapana. Magufuli ni ushindi wa kishindo.Meko anajihangaisha bure tu. Hawezi kuchaguliwa tena na watanzania ambao amewasababishia waishi kama wakimbizi wakati wako kwenye ardhi yao waliyozaliwa.
Hoja mufilisi,wasaliti ni nyie mliepiga risasi Mungu akamuokoaWasanii hawawezi kwenda kuungana na msaliti wa Nchi Lissu
Hatumtaki Rais anayewatesa wastaafu, watumishi wa umma, wakulima, wafanyabiashara na hata wanafunzi wa vyuo vikuu.Unadhani watanzania ni malofa?. Hatuwezi chagua kibaraka wa mabeberu. Kwa Sera zipi mlizonazo Chaga development fund and management a.k.a saccos?. Mnataka mtuuze kwa mabeberu wenu,muuze maliasili zetu, muuze standard gauge zetu, muuze ndege zetu kwa Wakoloni wenu hapana. Magufuli ni ushindi wa kishindo.
Sukari ilishuka sana jana baada ya kuona wasanii wanaondoka na wananchi wanaondoka na kumuacha peke yake uwanjani. Amepumzika leo na kuishia kumfokea Sana Polepole.Leo alikuwepo wapi?
Hoja mufilisi,wasaliti ni nyie mliepiga risasi Mungu akamuokoa
Mtaondoka duniani kabla yake japo mlitaka atangulie yeye mtatangulia kabla yakeHuyo alipigwa risasi na wadai wake kwenye chama, serkali haiwezi kupoteza muda na mgonjwa wa akili
Watanzania wa wapi unawazungumzia wewe?! Ni mtanzania wa wapi hao wanaishi Kama wakimbizi? Wewe Bila Shaka haupo Tanzania...hayo ni maneno ya beberu Robert Amsterdam.Meko anajihangaisha bure tu. Hawezi kuchaguliwa tena na watanzania ambao amewasababishia waishi kama wakimbizi wakati wako kwenye ardhi yao waliyozaliwa.
Mtaondoka duniani kabla yake japo mlitaka atangulie yeye mtatangulia kabla yake