Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko hatujiiii. mtadanlodi ilani kwenye mtandaoPemba Lini Zamu Yetu, Mtwara, Lindi Katavi
Mtanzania yupi huyo anaeishi kama mkimbizi? Hoja za namna hii ndo mnataka ziwaingize ikulu?!Meko anajihangaisha bure tu. Hawezi kuchaguliwa tena na watanzania ambao amewasababishia waishi kama wakimbizi wakati wako kwenye ardhi yao waliyozaliwa.
huko hatujiiii. mtadanlodi ilani kwenye mtandao
Mtanzania yupi huyo anaeishi kama mkimbizi? Hoja za namna hii ndo mnataka ziwaingize ikulu?!
Watanzania sotee (tunaojielewa) tumekukataeniMtanzania yupi huyo anaeishi kama mkimbizi? Hoja za namna hii ndo mnataka ziwaingize ikulu?!
Unaota au umevimbewa kimpumu,swine zakoMeko anajihangaisha bure tu. Hawezi kuchaguliwa tena na watanzania ambao amewasababishia waishi kama wakimbizi wakati wako kwenye ardhi yao waliyozaliwa.
Mtaji wa ccm ni watanzania wajinga na masikiniRais Magufuli ushindi ni 98%
Watanzania tutampigia kura hata asipopiga kampeni
Ameifanyia Tanzania makubwa
Bia yetu, hebu kaa pembeni angalia kama mtu baki uone hali halisi. Sisi tusio na chama tunapokea chochote kitakachochaguliwa na wengi ila nina swali kidogo kwako kutokana na haya maneno yako, hivi kwa ugumu ule, mapito yale, kutengwa kule na kuzibwa kule kwa miaka 5 iliyopita kama Chadema haikuweza kufutika unawaza inaweza kufutika kirahisi tu kwa kushindwa uchaguzi ujao? Huna haja kujibu, jiulize mwenyewe tu kisha unaweza kujibu au kukaa na jibu lakoMkuu Chadema wanajua wanaenda kufutika ndio maana wana hasira na matusi
Shauri yao,tuliwaambia mkimsimamsha msaliti wa Nchi Lissu ndio itakuwa mwisho wao ila hawakusikia
Bia yetu, hebu kaa pembeni angalia kama mtu baki uone hali halisi. Sisi tusio na chama tunapokea chochote kitakachochaguliwa na wengi ila nina swali kidogo kwako kutokana na haya maneno yako, hivi kwa ugumu ule, mapito yale, kutengwa kule na kuzibwa kule kwa miaka 5 iliyopita kama Chadema haikuweza kufutika unawaza inaweza kufutika kirahisi tu kwa kushindwa uchaguzi ujao? Huna haja kujibu, jiulize mwenyewe tu kisha unaweza kujibu au kukaa na jibu lako
Naomba tusiwatukane watanznaia kuwa ni wajinga kwa kuwa tu hawatuungi mkono. Yaani kuchagua chama chako si kigezo cha welevu au ujinga. Naomba tutende haki. Wengine walisha jaribu kuwachagua wakaona bora CCM mara 100!Mtaji wa ccm ni watanzania wajinga na masikini
Usiwasemee Watanzania wasemee CCM wenzako
Leo alikuwepo wapi?UKINUNA UWE NA SABABU!.Mnaomfatilia JPM kutwa kucha ! na kusema mara oh! Sijui mgonjwa , mara mapumzikoni! .Hii hapa ratiba ya kampeni kuanzia kesho Jumatatu tar 12 hadi Jumatano tar 14, ambapp pia siku ya Jumatano atawaongoza watanzania kupokea mgao wa zaidi ya bilioni 100 kutoka Barrick Gold ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya kupitia mikataba ya madini na kutunga sheria zinazolinda madini na maliasili za Tanzania. JPM mitano tena!.
View attachment 1596861View attachment 1596862
CCM waliowengi tu hawamtaki ndio Watanzania wengine wampigie kura! Ni CCM wachache wapuuzi ndio wanampenda huyo mpenda misifa,mbaguzi na mbinafsi hata pesa za Watanzania yeye na wapambe wake wanadai ni zake,zake kauza ng'ombe zake Chato
Hata makaburu walifanya kuliko yeye lakini walifurushwa yeye miradi yake mingi lengo ni 10%