Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Miaka mitano ijayo tutawakatia bima ya Afya Wananchi wote wa Tanzania

Sio Matibabu ni Bure?
Ya nin Bima?
 
nacheka kwa dharau
 
Ilani yenu haizungumzii hilo suala hata kidogo.
Suala la Bima za Afya kwa watanzania wote ni ya Chadema na Mh. Lissu na wameisema vzr kwenye ilani ya uchaguzi.
Wewe ni muongo na mwenye kuegezea kwa wengine na hauna mpango wa kutimiza hilo.
Haufai kuwa Rais wa nchi hii.
Miaka mitano iliyoisha imekuwa michungu sana kwa taifa hili.
Tunahitaji haki kwa watanzania, uhuru kwa watanzania, na maendeleo ya watu.
 
NECCCM
 
Milioni 50 kila kijiji
 
Ghilba
 
Labda nikupe taarifa kwamba mimi nipo Sekta ya Afya tena upande wa Utawala/Usimamizi. Kwa hiyo huwezi kunifundisha kuhusu bima ya Afya.
Hayo maswali hebu tembelea Mtaa wa Lumumba ukawaulize.
Hiyo ndio maana ya neno "Bima"πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Plagiarism... πŸ˜€ πŸ˜‚
Aisee, mil50 kila kijiji tiyari??

Watanzania nichagueni, nitawaletea pipi eeh!
Hivi daah wanatuona tu wepesi kiasi hiko??

Everyday is Saturday................................😎
 
Tuliopo tu kwenye bima dawa tu tunabaguliwa hao wote watapewa nini! Dawa zakupewa wanachama wanachagua chagua akwende huko!
 
Laptop Kwanza kwa walimu wetu...na mil50 kila kijiji
 
Kaz kwenu wapiga kura. Hapo ndio tunasema je sera za mgonbea zinatekelezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…