Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Miaka mitano ijayo tutawakatia bima ya Afya Wananchi wote wa Tanzania

Naona mzee ameanza kudandia hoja za Lissu. Hali ya CCM ni tete.
Lissu alianza kusema haya.
-Bima ya afya kwa wote
-Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi
-kufufua viwanda vilivyouliwa na CCM

CCM na wapambe wake wakaja juu kwa kusema haiwezekani, maana hakuna pesa za kuwezesha hayo. Leo hii Magufuli anaiga na kurudia kuyasema ya Lissu.
 
Ameshalegea

Nileteeni biaaaaaaaaaaaaaaqqqq
 
Hakuna uongo hapo, JPM anatekeleza ,kazi inaendelea alishaboresha CHF na watu wanapata huduma kwa elfu thelathini (30,000) kwa mwaka kwa mpango wa CHF iliyoboreshwa, wazee wanatibiwa bure. Endeleeni kudanganywa na kulishwa upepo na wanaotaka kijifunza kazi ya Urais!. Tumetekeza na kazi inaendelea. Mitano mingine kwa JPM.
 

Attachments

Serikali ilishaanza mikakati ya kujali na kuboresha afya za watanzania kupitia bima za Afya za NHIF na CHF iliyoboreshwa. Mwanachama wa CHF iliyoboreshwa atatibiwa Hospitali zote za Serikali ispokuwa Hospitali ya Taifa na hospitali za rufaa za Kanda tu. Zingine zote kuanzia Zahanati,vituo vya afya, hospitali za wilaya na Hospitali za rufaa za mikoa unapata Huduma za afya popote Tanzania. Bei 30,000/= kwa mwaka kwa familia ya watu sita kwa kaya zote nje ya Dar es Salaam. Kwa Dar es Salaam kila mmoja atalipa 40,000/= kwa kila mtu kwa mwaka. Kila mtu atakuwa na kitambulisho chake na atatibiwa popote Tanzania. Asanteni tutumie fursa hii ya Huduma ya Bima ya Afya iliyoboreshwa! Ukitaka kuamini nenda hospitali ya Serikali ukaulizie huduma ya CHF iliyoboreshwa.
 
Kama "Jiwe" alivyoamua kubomoa jengo la Tanesco Ubungo.
 
Usiwe mvivu wa kusoma ,utadanganywa sana. Angalia ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 (imeambatishwa). Kuhusu Mambo yote soma ibara ya 83 ukurasa 136 na kuhusu bima ya Afya soma 83 (e) "Kuimarisha mfumo wa bima ya afya nchini ikiwemo mifuko ya bima za afya (NHIF na CHF) ili kufikia lengo la Serikali la kuwa na bima ya afya kwa wananchi wote". Tusipoanza kusoma tutadanganywa sana,CCM ilizindua ilani yake kabla hata huyo hajateuliwa ,huyo katoa Ilani baadaya ya Kampeni. Nani kadeza hapo?! Za kuambiwa changanya na za kwako. Au ndiyo ukitaka kuwaficha kitu wa TZ weka kwenye maandishi! Tubadirike.
 

Attachments

Vii eite zitanunuliwa na nini, unaijua vii eite wewe?
 
Tanzania ya viwanda ni Sera ya CCM, tafadhali soma vizuri Ilana za CCM!
 

Uzuri ni kwamba John Pombe Magufuli hashindwagi🔥🔥🔥🔥🔥🔥
"Tanzania ni matajiri" - John Pombe Magufuli 😛😛😛
 
2015-"Nikiwa Rais nitatoa million hamsini kila kijiji"

2020-"Miaka mitano ijayo tutawakatia bima ya afya wananchi wote"
 
Wewe ndio unapaswa kuelewa.
Hivi kurekebisha mfumo wa Bima na kutoa Bima Bure ni vitu sawa?
 
Wewe ndio unapaswa kuelewa.
Hivi kurekebisha mfumo wa Bima na kutoa Bima Bure ni vitu sawa?
Ni kweli mimi ninapaswa kuelewa na ninajibidisha kuelewa. Hoja hapa ilikuwa jambo hili halipo kwenye ilani, mbona umelikuta! Naomba usome vyema ilani ya CCM 2020-2025 inakuhusu wewe na maisha yako!
 
Pumbavu. Mpaka Lissu atangaze Sera zake ndiyo Magufuli anakopi. Hovyooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…