Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Miaka mitano ijayo tutawakatia bima ya Afya Wananchi wote wa Tanzania

Lissu alisema haya kwenye ufunguzi wa kampeni zake Mataga wakasema haiwezekani maana hata Obama Care ilishindwa Marekani, Leo kimempata nini tena huyu mkurupukaji?
Hana akili. Ni pumbavu asiye na kumbukumbu.
 
Saaa hivi anaiba chochote tu, hata kama hana matumizi nacho au hajui atakitumia vipi
 
Kwa yale yote ambayo tumeyashuhudia kwa Magufuli hakuna ubishi juu ya hilo la kukatiwa bima ya afya kea watanzania wote
 
Hahaha Slaa naye ni mpinzani?!
Anapinga nini tena huko ccm?!
 
Tulishasema aliyechukua akili zenu amewaachia akili za kulengea tundu la choo tuu!
Hivi kwani JK alikuwa hajengi hosoitali,barabara nk?Kwanini malalamiko yako sasa?Baada ya vyuma kukaza sana na mzunguko kuwa mdogo mtaani,watu wamejua ni kwasababu kipaumbele cha serikali ya awamu ya 5 kilikuwa miundombinu ambayo imebeba fedha nyingi na return yake ni ya muda mrefu,Mafuru aliyekuwa mkurugenzi wa hazina alilisema vyema hili clouds tv!Akatolea mfano ni sawa na baba ambaye anawalisha watoto mihogo ili ajenge nyumba!Mafuru alitumbuliwa kwa ufafanuzi huo alioutoa!
Wapinzani hasa CDM wameona fursa na wanaitumia!Wameona maendeleo ya watu yamesahaulika ndio maana ni ujenzi tu hata ajira zimekuwa shida sana,walimu ambao walikuwa na uhakika wa ajira kwa sasa wapo mpaka wa 2015 ambao hawajaajiriwa!Kwa kuliona hilo ndio wapinzani wamekuja na sera ya kuweka uwiano ili maendeleo ya watu yanyenyuke!Hawasemi hospitali hazifai,ila wanasema kuna mahali pesa zinakwenda tofauti na mahitaji ya sasa!
Mfano unapeleka wizara ya ujenzi 228% ya bajeti iliyopitishwa na bunge huku wizara kama maji na kilimo unapeleka chini ya 40%!
Au unaenda kujenga uwanja Chato kwa fedha nyingi wakati hata uhitaji wa uwanja huo kwa wakati huu haupo,labda miaka 20 ijayo!
Hapo ni kukosa vipaumbele!

Hoja kama hizi zimeungwa mkono na wananchi wengi timamu!!

Sasa mnakaa mnaandika propaganda mfu sijui kumfurahisha nani!
 
Wavivu kama wewe hufa wakitoa Lawama Kwa wengine Kinachowasumbua watu kama ninyi ni uvivu uliopitiliza, mmelelewa kimama mama, Kila mtawala kwako hawezi kukuridhisha Kwa sababu unadhani utaletewa ugali nyumbani mwako

Tulikuwa na Jk mkamponda, mkamwogesha matusi yote, mkataja sifa za mmtakaye, bahati mzuri, Mungu si athumani, Mkampata Kwa mjibu wa sifa mlizozitaja

Leo tena mnaona ni afadhari ya Kikwete,

Jinga Sana ninyi,

Kaza buti Maana huyu aliyepo ana miaka mitano mbele, mtakimbia watoto wenu Kwa uzembe na uvivu,

28 October, Magufuli tena, mtakimbia mijini watoto wa mama Ninyi
 
Nimejiridhisha kuwa wewe ni msukule!Nikikwambia niko wizara gani na ninafanya kazi kama nani unaweza usiamini!Wengi wetu tulioko huku haturidhishwi na mwenendo wa boss wetu!Tunakaa kimya maana kilichomkuta Mafuru kwa kuongea ukweli kinajulikana!
Uchaguzi huu ukipita,mimi ni kati ya wale ambao tutakaa kimya na kuendelea na maisha!Huwezi kuniona napiga kelele sijui maji,umeme,huduma za afya,sijui kodi au nini!
Naweza kuwa kwenye nafasi ya kula keki ya taifa kuliko hata wewe ambaye ni msukule tu wa lumumba!
Bisha nikupe proof ya ninachokisema!
 
Zile mil50 za kila kijij zliendag wap
Leo bima kila mtu😁😁😁😁
 
Zile mil50 za kila kijij zliendag wap
Leo bima kila mtu😁😁😁😁
 
Bado Una mambo ya zamani Sana mkuu na Huna ujualo

28 October ndio utajua ni Nani mwenye machungu ya nchi Kati ya nyinyi mnaojiita eti unanijua Mimi?? Na watu walala Hoi watakaoamua Nani awe Raisi wa nchi hii

JPM Twende kazi
 
Hilo limeshindikana miaka mitano ya awali. Hii ya lalasalama ni ulaghai mtupu. Hebu subirini muone muujiza wa kikokotoo kipya kama walivyoahidi halo awali.
 
Ameona kampeni ya ununuzi wa ndege, flyover, barabara hailipi. Ameanza kuiba Sera za Tundu Lissu. Endelea Kamanda Lissu kumpeleka mchakamchaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…