Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote.

Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
 
sasa naona sio kampeni tena ni kama ubabe tu

halafu hivi kwani nani alimwambia kila mtu analilia kuteuliwa na yeye?
IMG_20200917_182831.jpg
IMG_20200917_182808.jpg
IMG_20200917_182745.jpg


siasa za ajabu san
 
Cha ajabu ni nini hapo?

Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Muswada haukupitishwa majority walikataa vyama vingi, hasa viongozi wa CCM, but Nyerere akaupitisha kitemi.
 
Ana msemo wake wa Maendeleo hayana chama! Ukimsikia akisimulia, hupenda kuwahimiza Watanzania kumchagua pasipo kujali itikadi zao za kisiasa!

Dk mbili baadae utamsikia akiwapiga mkwara wapiga kura kutokuwapelekea maendeleo iwapo watawachagua wapinzani!! Sasa unajiuliza, maendeleo hayana chama kwa CCM tu. Ila kwa wapinzani maendeleo hayo hayo yana chama!! Kazi kweli kweli.
 
Anampenda Mpango kwasababu ni mtu ambae ni wa kujipendekeza na mwoga. He is not professional, he will only tell JIWE what he wants to hear. The real professionals walikuwa Ndullu and Likwelile; hao walikuwa wanampa ukweli juu ya hali ya uchumi wa nchi na yeye hakuweza kumeza ikabidi warudi kushika chaki!
 
Back
Top Bottom