T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Wakileta nitagWeka clip tuone mkuu walivyo mkomesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakileta nitagWeka clip tuone mkuu walivyo mkomesha
Ni kama vile hazipatikani.
October 28 inabidi atoke.Maana yake ni kuwa una uhuru wa kuongea lakini huna uhuru baada ya kuongea.
Hata walizonazo wanaogopa kuzirusha wasije wakapewa kesi ya money laundering.
Hata kwenye simu zao?
Na bado, kwani Lisu ameshafika huko?Wahaya ndiyo kiboko yenu
Lissu ndiyo kwao kuleNa bado, kwani Lisu ameshafika huko?
Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Yaani kwamba watu waliojitokeza kugombea ndani ya chama dhidi ya Mpango ni watu wajinga na wasahau kuhusu kupata nafasi kukitumikia chama au serikali! Hii ni akili au matope? Mbona mnakuwa wajinga hivi? Kuna watu ni wa ajabu sana!Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Nyerere alijua fika kuwa watu walisafirishwa kwa malori kwenda kwa wingi mbele ya Tume ya Nyalali kukataa vyama vingi. Vinginevyo, waliotaka vyama vingi wageweza kufika angalau 40%!.Nyerere alijua walichakachua matokeo, si kweli kwamba wengi hawakutaka mageuzi, Nyerere katumia busara tu, badala ya kuwambia kuwa wamechakachua matokeo akawambia si vibaya wachache wakisikilizwa, na kwa vile wanajua ukweli hawakuwa ujanja tena, vinginevyo wangeumbuliwa kuwa wamepika data.