nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Kakura tupa kule hatukataki nI JPM hadi 2025
Huyu Mzee aende tu akapumzike. Hatumtaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mzee aende tu akapumzike. Hatumtaki.
Jiwe badala ya kujibu hoja anazungumzia habari za uteuzi kabla hata ya Uchaguzi kufanywa!! He is confused.
Anaharibu sana.
Sasa anafanya ionekane kwamba Dr. Mpango hawezi kushinda mpaka rais amkingie kifua.
Anatumia teuzi kama silaha ya kuiminya demokrasia.
Kama Dr. Mpango ni mzuri hivyo, aachie ushindani tu, watu wataona nani anafaa.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote hawajawahi kutoa kauli za kishamba hivi.
Kwani Lissu ndio mtaa gani hapa Bukoba ?Lissu ndiyo kwao kule
Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote.
Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
Hiyo ndio akili sasa kama hujui, mna waziri wa fedha kwenu na anaperform vizuri halafu jinga moja linafanya kushindana naye, kama siyo ulimbukeni ni nini ?Yaani kwamba watu waliojitokeza kugombea ndani ya chama dhidi ya Mpango ni watu wajinga na wasahau kuhusu kupata nafasi kukitumikia chama au serikali! Hii ni akili au matope? Mbona mnakuwa wajinga hivi? Kuna watu ni wa ajabu sana!
Wahaya hoyeee
Tumekuwa na Rais wa hovyo kupata kutokea, yaani ana akili za chini sana. Wa Tz jamani mwaka huu ni mwaka wa ukombozi.
Ngoja wananchi tumpige nje hapo oktoba ili na yeye akubiri kuteuliwa
Hii ni kuonyesha kuwa ndani ya ccm kwenyewe hakuna demokrasia. Nyerere angekuwa hivyo Mwinyi adingekuwa rais na Salim angekuwa rais! Kwa mtaji huu ccm inahitaji kukombolewa.
Yaani huyu JPM tafsiri yake ya demokrasia anaifahamu yeye tu. Yaani yeye hakuna kitu kama competitive politics ndani na nje ya chama. Kama anataka hivyo ni kazi rahisi tu. Kwanza afute mfumo wa vyama vingi ibaki CCM tu. Pili abadili katiba ili yeye awe ndo anateua wabunge. Hakuna haja ya uchaguzi. Haya yote yako ndani ya uwezo wake.
Yakiwashinda mwamvie kuongozi wenu abadilishe gia anganiYaani huyu JPM tafsiri yake ya demokrasia anaifahamu yeye tu. Yaani yeye hakuna kitu kama competitive politics ndani na nje ya chama. Kama anataka hivyo ni kazi rahisi tu. Kwanza afute mfumo wa vyama vingi ibaki CCM tu. Pili abadili katiba ili yeye awe ndo anateua wabunge. Hakuna haja ya uchaguzi. Haya yote yako ndani ya uwezo wake.
Kwa kumuweka nani?? Maana unatakiwa kwa na mbadala bora zaidi sio kuweka Yule anayosema muungano wetu ni batili wakati yeye ni mtu aliye somea sheria na muungano wetu hauna tofauti na uingereza, lakini sijawahi kusikia mtu wa England akienda Scotland na kuongea ujinga kama mgombea moja wa hapa kwetu.
Siyo kukubali kila kitu bali kuruhusu challenge. Kumtishia anaechallenge maana yake hautaweza kupata mawazo yaliyo bora zaidi ya uliyonayo kichwani kwako kwani umejifungia chumbani. Na hivyo unajikuta kumbe wewe ndiye unayefifiisha kasi ya maendeleo huku ukidhani kasi ni kubwa.Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Kwanza wengi hatuna fursa ya kuwa nyuma ya mikamera kumbe ukipata fursa ya kuwa nyuma ya mikamera ni chanzo kizuri cha kuula kwenye teuzi mradi ukamsifia ni ukweli usiopingika kumbe ukijitoa ufahamu unapata teuzi ndiyo maana walio gundua udhaifu huu wanaweka namba zao za simu humusasa naona sio kampeni tena ni kama ubabe tu
halafu hivi kwani nani alimwambia kila mtu analilia kuteuliwa na yeye?View attachment 1572549View attachment 1572550View attachment 1572551
siasa za ajabu san
Kweli ni zero brain maana wangekuwa na akili wasinge kutafutia kwenye mkesha wa mbio za mwengeWahaya walifanya nini ? Unadanganywa nawe unadanganyika. Kweli nyumba ni zero brain
Wewe kaa ule mutwishe tu ndiyo utakacho kiwezaKwani Lissu ndio mtaa gani hapa Bukoba ?