Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Kwa hiyo kumbe tatizo lilianzia hapa. Kwamba kwa kuwa maamuzi ya kurudisha vyama vingi yalikuwa ya wachache, kinyume na dhana ya demokrasia, basi maamuzi katika nchi yatafanywa na wachache na ndiyo waamuzi wakuu