The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Anasupport democrasia, ila hata watu wampinge. Sasa anamaana gani?Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Wahaya ndiyo walimkomesha janaAnasupport democrasia, ila hata watu wampinge. Sasa anamaana gani?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sijapata kabisa clip za Kagera mkuu.Wahaya ndiyo walimkomesha jana
Nimewapigia salute wahayaHuyu mzee tokea atoke Bukoba hajakaa sawa
Wahaya wanatisha hawanaga mchezo
Wahaya ndiyo kiboko yenuLisu tutamkomesha oktoba kwenye box la kura
Kupata katiba mpya ni muhimu sanaNasikia aliagiza wakamatwe, ndo maana tunahitaji mabadiliko makubwa ya katiba! mtu ni mgombea lakini huku katiba inamtambua kama Raisi mwenye dola duhhhhh
Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Hapo nimekupata mkuu... Kumbe concept ipo Ila mtoa maada hajaieleza ilivyotakiwaAnasupport democrasia, ila hata watu wampinge. Sasa anamaana gani?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Labda kama itazoa senene tu maana kura zote anapewa mh LissuSubiri oktoba ujioneee.. Huko huko kwa wahaya ccm itazoa kura zote za madiwani, bunge na rais
Muswada haukupitishwa majority walikataa vyama vingi, hasa viongozi wa CCM, but Nyerere akaupitisha kitemi.Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Tofautisha ukomavu wa kisiasa na ukomavu wa demokrasia.Ukomavu wa kiasiasa ni pamoja na kutambua uwezo wa binadamu mwingine, kama ilivyo kwa msomi kutumia elimu ya mbobezi