Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Nyerere alijua walichakachua matokeo, si kweli kwamba wengi hawakutaka mageuzi, Nyerere katumia busara tu, badala ya kuwambia kuwa wamechakachua matokeo akawambia si vibaya wachache wakisikilizwa, na kwa vile wanajua ukweli hawakuwa ujanja tena, vinginevyo wangeumbuliwa kuwa wamepika data.Muswada haukupitishwa majority walikataa vyama vingi, hasa viongozi wa ccm, but Nyerere akaupitisha kitemi.
Unajua Jiwe anajicontradict sana katika mambo anayoongea.Anampenda Mpango kwasababu ni mtu ambae ni wa kujipendekeza na mwoga!! He is not professional, he will only tell JIWE what he wants to hear!!! The real professionals walikuwa Ndullu and Likwelile; hao walikuwa wanampa ukweli juu ya hali ya uchumi wa nchi na yeye hakuweza kumeza ikabidi warudi kushika chaki!!!
Kwa ufupi ni kwamba haelewi.Anamaanisha hajitambui na haelewi anachokiongea.
Hizi ni stori za kitotoNasikia aliagiza wakamatwe,ndo maana tunahitaji mabadiliko makubwa ya katiba ! mtu ni mgombea lakini huku katiba inamtambua kama Raisi mwenye dola duhhhhh
Jamaa ni kweli hashauriki, na walio karibu wote wanamuogopa siku hizi.He does not know what comes out of his mouth!! Analopoka tu; very un presidential!
Unashangaa mgonjwa wa akili?Sasa naona sio kampeni tena ni kama ubabe tu
halafu hivi kwani nani alimwambia kila mtu analilia kuteuliwa na yeye?View attachment 1572549View attachment 1572550View attachment 1572551
siasa za ajabu san
Hoja butu. Jiwe sasa ni dhahiri anaweweseka na kuweka udhaifu wake hadharani.Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Hoja butu. Jiwe sasa ni dhahiri anaweweseka na kuweka udhaifu wake hadharani.Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
tatizo lipo wapi?Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM
Dar es salaam keshajionea isivyomtaka Yuko anaruka ruka mikoaniLissu tutamkomesha oktoba kwenye box la kura
Unaaibisha jina la Einstein! Ndhani nimekwambia several times kuwa hustahili kujipachika jina hilo!Cha ajabu ni nini hapo?
Kwani demokrasia ni kukubali kila kitu? Hivi ule mswada wa vyama vingi tungefuata demokrasia mnayoitaka ninyi ungepitishwa?
Huyu Mzee aende tu akapumzike. Hatumtaki.
Wahaya ndiyo walimkomesha jana
Maana yake ni kuwa una uhuru wa kuongea lakini huna uhuru baada ya kuongea.Anasupport democrasia, ila hata watu wampinge. Sasa anamaana gani?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app