Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

Sitaki kuamini mkuu nae alibabariki fitina kuharibu uchaguzi jimbo la PM,apite bila kupigwa hata kwa garama yeyote ikiwemo kuteka,kutesa nk ili amtumie kumuombea kura!?
 
Gari la mkaa linaenda gereji tena? Mwaka huu jamaa amegwaya ile mbaya alifikri kampeni za mwaka huu zitakuwa rahisi? Fogofu (sijui wazee walikuwa wanamaanisha nini hapa?)
 
Hongera Sana JPM wetu kura zote kwako
 
Yeye ni Rais na Mgombea pia.... Unamfananisha na Mgombea wenu?
 
Usichukulie poa sana, wenyewe wanamjua.
Gari la mkaa linaenda gereji tena? Mwaka huu jamaa amegwaya ile mbaya alifikri kampeni za mwaka huu zitakuwa rahisi? Fogofu (sijui wazee walikuwa wanamaanisha nini hapa?)
...[emoji848][emoji848][emoji848]....embu jazia nyama mkuu.
Bernard Membe si lolote si chochote. Hana meno ya Kumung'ata Dk. Magufuli. Namshauri Magufuli aende kusini. Akaweke Maua kwenye kaburi la Mzee Makapa
 

Nachingwea, Lindi

Tanzania

SALUMU MWALIMU : Lissu Ndiye Rais Ajae 2020 Baada Ya Magufuli, umati full shangwe nderemo vifijo furaha wakubali Tundu2020 Nachingwea Leo 07/10/2020


2020 ni Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu
 
Kumekucha Lissu umepunguziwa kazi...nenda alikokwepa fanya kampeni nzito

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni sasa Lissu aende!
 
Magufuli hata akiamua akae tu Ikulu kuanzia leo hakika ushindi kwake ni lazima.
 
Huyu hatoki Ikulu bila kumletea mtiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…