Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

Mwone!
 
Tumekuelewa Mh. Rais ,

Mitano tena kwa JPM.
 
😀Anaogopa koro-show??
Anamtuma waziri mkuu??
Kwani kampeni ni kazi ya serikali??

Nimeamini trip shamba, trip garage!

Everyday is Saturday..............................😎

Mbona una maneno makali sana?
 
Kaona ataaibika na kupiga Magoti hakutamuokoa na dhambi ya kudhurumu korosho za wanamtwara
 
Jamaa kajitoa nini baada ya kuona kimbunga kila sehemu ya Tanzania mfano leo huko Nasio Ukerewe watu wampokea Rais wao mtarajiwa kwa kishindo cha kimbunga cha Tsunami

 
Kwanini leo anasema hawezi kufika kote huko, wakati mwaka 2015 alijitahidi kufika huko kote?

Nini kimemkuta sasa 2020 ambacho hakikuwepo hapo kabla (2015) ?

Ukitazama ratiba yake ya kampeni inaonekana kuna sehemu alipaswa awe amekwenda lakini hakwenda pasipo sababu yoyote ya msingi na pia ratiba inaonyesha akishafanya kampeni siku tatu anapumzika siku nne, tatizo ni nini?

Amechoka?
Anaumwa?
Amekatazwa?
Anaogopa?
Hajiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…