No!Yeye kila mahali ni ngono,yaani hawezi kuongea bila kugusia ngono.Mara hapa hakuna connection mara nipeni binti wa kigogo anipoozee mara sijui nini!Alivyo fala anaamini kipaumbele cha Watanzania ni ngono
Nimeshaweka mambo hadharani sasaHe was not a straight A person. He was posted to a college of education for A diploma in science and after teaching in Sengeram a high school for a number of years, he applied for mature entry University examinations in Mwanza...Danganye wengine...we knowhim since those days...
Jambo pekee ndio hilo chief, nimeshaliweka wazi jisomee kwa uangalifuYawezekana ulikua na jambo la kuzungumza lakini umezunguka Sana hadi umepoteza lengo
Magufuli alikua na bidii mnoo katika masomo yake kuliko wanafunzi wote kwenye shahada, masters na PhD.We muongo..... Kwanza ana phd feki....
Sipokei malipo yoyote wala sihitaji kulipwa, nipo kwaajili ya kuifundisha Tanzania ya baadhi ya watu waliopofushwa mioyo na akili zao washindwe kuona mambo mazuri yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano.Nasubiri ujazie hizo page zifike 100 ndiyo nitatoa maoni yangu, mpaka hapo ulipoishia bado sijaona kipya, hata hivyo nikupongeze kwa jinsi unavyojituma kwa kazi yako. Hakika unapokea malipo halali kabisa.
Kwa nini usikubali kuwa huo ndio upeo wako wa juu sana kuhusu masuala ya kitaifa?Kama ni hivyo bora tumtafute ambaye hana akili kabisa
- Ukiwa na akili nyingi ndo unashindwa kuwaongeza mishahara watumishi wa uma?
- ukiwa na akili nyingi ndo ujenge majengo ya hospitali halafu hununui Dawa?
- Ukiwa na akili nyingi ndo ujenge madarasa halafu waalimu unaacha kuwaajiri mpaka ifike kampeni?
Ila ukweli unaujua vilivyoHakuna kiongozi mshamba, mbumbumbu na hovyo kama huyu duniani kote nina uhakika!
Hayo hayakuhusu ni mambo ya kifamilia naomba tuzungumzie mambo ya kitaifaNa huyo mama yake mahututi mda wote ni kafara tu hizo watu hawa ni hatari nawaambia!
Nimeanika ukweli hadharani. Msema kweli ni mpenzi wa MunguPeleka MaVI huko LMB. Angalia namba tatu hapo! Huyu si ndiye aliagiza auawe jamaa aliyehoji PHD yake.
Huyu ni darasa la saba.
Zungumzieni ujanja wa kuteka na kuua. Ana shahada ya ugaidi
Hayo hayatuhusu chief, Sisi tuzungumzie mambo ya kitaifa tuKweli ana akili nyingi kama anaweza kumgawa mama ake mzazi aliyeko kitandani mahututi kwa hongo ya jogoo..!