Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye akili nyingi mno haijawahi kutokea hapa Tanzania

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye akili nyingi mno haijawahi kutokea hapa Tanzania

Magufuli 5 tena. Tukutane 28oct.
Hii nchi hatuwezi kuwakabidhi genge la wahuni.
Jana Rais wamioyo yenu kawapa mnacho kipenda. Akiingia madarakani kufukuana mitaro ( ushoga) ni ruksa.
Haya ndio maendeleo ya watu sio ya vitu!
 
Magufuli alikua na bidii mnoo katika masomo yake kuliko wanafunzi wote kwenye shahada, masters na PhD.

Alafu hapa Tanzania degree za science huwa hazitolewi feki chief labda kwenye art zenu huko.
Ngoja tukuletee andiko la ben saanane ndo utaelewa mkuu.....Hivi mkuu alikua anasoma kwa kutumia lugha gani?
 
Kati ya akili na maarifa kipi bora? Sera ya CHADEMA ni kufumua mfumo wa sasa wa elimu ya kukariri mitihani, ya kupata 1st class degree wakati huwezi andika barua ya kuomba kazi.

AAu kakumbwa na usemi wa akili nyingi huondoa maarifa?
 
Back
Top Bottom