Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye akili nyingi mno haijawahi kutokea hapa Tanzania

Magufuli alikua na bidii mnoo katika masomo yake kuliko wanafunzi wote kwenye shahada, masters na PhD.

Alafu hapa Tanzania degree za science huwa hazitolewi feki chief labda kwenye art zenu huko.
Ndo huyu msomi,
Your browser is not able to display this video.
 
Nonsense
 
Sikiliza chief, msomi hatambuliki kwa kuongea kiingereza tunaangali knowledge na ujuzi alio nao.
Mimi binafsi siwezi kuzungumza kiingereza vizuri lakini kwenye professional yangu. Nakukimbiza vibaya.
 
JPM angepewa nchi baada ya uhuru basi taif lingekuwa na mpasuko mkubwa!Hekima,busara na weledi wa Nyerere haujawahi kuonekana kwa viongozi wote waliokuja baada yake!Huyu ndio hata robo hawezi kumkaribia Nyerere!
Acha zako chief, uweke tu like yako hapo
 
Kiingereza sio ishuu mbona wachina hawajui kiingereza lakini wana uwezo mkubwa, huwezi kuubadirisha ukweli kwa kutumia kivuli cha lugha
Mkuu shida sio kiingereza tu,msomi hawezi hata kupangua au kupanga hoja.
 
Kwanza umewatusi viongozi wote waliopita...

Pili huyo unayemsifia hapa anakuzidi akili wewe peke yako.

Pumbavu kabisa
 
Kwanza umewatusi viongozi wote waliopita...

Pili huyo unayemsifia hapa anakuzidi akili wewe peke yako.

Pumbavu kabisa
Hua situmii lugha za matusi kwenye nyuzi zangu chief. Naomba tujibizane kwa hoja tu inatosha. Tuachane na matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…