Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye akili nyingi mno haijawahi kutokea hapa Tanzania

Angekua na akili chato ingekua na maendeleo kawa mbunge miaka 25 alichoweza ni kuweka traffic light kuvushia ngombe na punda
 
Hakuna Tofauti kati ya akili ya magufuli na ya Nabii Tito. Kama Nabii Tito ana akili basi kweli Magufuli ana akili sana!
 
Hua situmii lugha za matusi kwenye nyuzi zangu chief. Naomba tujibizane kwa hoja tu inatosha. Tuachane na matusi.
Kama makao mkuu ya chama chao chenye umri wa zaidi ya miaka 28 ni haya uwaelewe tuu kwamba wao ni wa hivyo.



28102020
 
Kweli akili za kushindwa kuongeza mishahara , kupandisha madaraja , kuajiri , kulipa wastaafu , kabomolea watu nyumba , kula rambirambi za wahanga wa tetemeko la Kagera , kununua kivuko kibovu , kununua ndege used , kupunguza upana wa barabara , kupora bureau de change , kupora korosho , kubambikia watu kesi , kupora tilioni 1.5 . Kuteka , kupoteza , kubambikia watu kesi kwa miaka mitano ana akili Sana .
 
Sio mwamba bali anajimwambafai by JK. Unadhani kuitwa mwamba mchezo mchezo tu, au inakuja tu kirahisi. "Kupiga biti akiwa pekee yake kwenye media tumwite mwamba, yani ukimbie korona afu tukuite mwamba!! Mwamba Tz ni Mbowe, "tuvushe mwamba, tuvushe, tuvushe mwamba tuvushe".
 
Kifupi akili zako na zake unafanana, hakuna mwenye akili timamu anaweza kikuelewa. Unaweza kuwa na akili nyingi zisizo timamu kama zenu
 
Nguvu na akili vinakwenda pamoja sasa wewe kaaa tu ndani bila kutumia nguvu kutafuta pesa utegemee zitakuja zenyewe thubutu, lazima utumie nguvu.
Tumia akili tu kuwafanya wenye nguvu watende kwa ajili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…