- Thread starter
- #101
Leta ushahidi
Nasema hivi, sio rais bora fullstop.
Nasema hivi, sio rais bora fullstop.
Hapo umedhihirisha ufeki wako 100%Dokta feki katika ubora feki, nchi ya wajinga sana hii.
ZZK ni kibaraka wa mabeberu, ukimfuata utapoteaNimemnukuu zitto Kabwe
Leta ushahidi
jinga wewBadilika uuone ukweli, umepigwa na upofu wa kifisadi
Shukurani kwa kukumbusha,Na siyo kutojua.Ila hata akistaafu hata 3 bora hapati. Rekodi chafu!Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza, Tuzo ya Mo Ibrahimu hutolewa kwa marais wastaafu sio waliopo madarakani
Unapaswa kujiongeza sio kila kitu usubirie kuanzishiwa, Tumia Elimu yako kupima na kufikiri. Rais wako kwa maendeleoUshahidi ni kuwa hakuna popote zoezi limeendeshwa la kumpata rais bora ndani ya hili bara, au popote kuhusu kiongozi bora wa Afrika.
Hizo ni Fikra za kitwana, jitambueKama ubora unapimwa kwa mambo hayo basi hatukuwa na sababu ya kuwafukuza wakoloni Kwani ndio walioleta reli na Elimu Afrika
Mabeberu hawawezi kumpa Tuzo lakini wazalendo tutampatia tuzoShukurani kwa kukumbusha,Na siyo kutojua.Ila hata akistaafu hata 3 bora hapati. Rekodi chafu!
Usije kuwa uko ndotoni mkuu, tunamuungaje mkono?VAPS,
Awamu ya kwanza (2015-2020) ilikuwa kujenga miundo mbinu, Yaani nyenzo za maendeleo au maendeleo ya vitu, awamu ya pili (2020-2025) ni maendeleo ya watu. Hizi changamoto ndogo zitatatuliwa zote, tumuunge mkono akamalizie kazi.
Wewe mwelevu lakini hujitambuijinga wew
Unga mkono kwa 1. Kulipa kodi, 2. Kuchapa kazi, 3. Kuwa mzalendo kwa kuitangaza nchi na serikali vizuri na 4. Kumchagua tena akakamilishe kaziUsije kuwa uko ndotoni mkuu, tunamuungaje mkono?
Miradi yake ni beyond bajetiBajeti anatekeleza kwa asilimia ngapi?hapo ndipo ubora wa rais ulipolala
Mabeberu hawawezi kumpa Tuzo lakini wazalendo tutampatia tuzo
Sasa unafail, kama unasema umoja wa kitaifa umeimarika!!!. Unaonyesha mahaba ya dhairi kabisa na nyekundu unaiita nyeusiKwa vigezo hivyo hivyo unavyovipenda, tuletee hapa Rais bora Afrika kwa 2019.
1. Miundo mbinu ni 100% hata mabeberu wanajua. Barabara, reli, vivuko, meli na viwanja vya ndege, MPE A+ Excellent,
2. Uimara wa bunge sio kazi ya Rais, ule ni mhimili unaojitegemea. Dr. JPM anapenda bunge imara ili litunge sheria imara pia anahitaji mahakama Imara na anahimiza hivyo.
3.Ukuaji wa uchumi na kupungua kwa umaskini Tanzania ni B, Very Good, hata benki ya dunia, benki ya Afrika na IMF wanalijua hilo.
4.Deni la Taifa amelikuta yeye na anajenga miundo mbinu ya uchumi ili matunda yake yalipe hilo deni. Hapo ni B.
5. Kilimo, mikoa na wilaya inazalisha kwa wingi hadi tunauza nje ya nchi kwa mashirika ya kimataifa. Ameboresha usimamizi na usambazaji wa pembejeo, hapo ni A maana Taifa linajilisha sasa hatuagizi sukari, mafuta wala unga.
6. Ajira zimeongezeka sekta ya umma na binafsi katika miradi mbalimbali na serikalini. Mifumo mipya ya ajira imepunguza rushwa na urasimu katika ajira, hapo B.
7. Uwekezaji umeboreshwa ili kupata Tija katika madini na kwingineko. Wawekezaji wababaishaji wametoweka na vibaraka wao wanalia, rasilimali kama madini, mbuga na ardhi vipo salama, hapo ni A.
8. Utawala bora ni 100%, watendaji na viongozi wanawajibika kwa umma. Kwa sasa mwananchi anaweza kuongea na DC, RC, waziri au Rais , viongozi wabovu wanaondolewa. Huo ndio utawala bora, hapo A,
9. Mahusiano ya kimataifa yapo juu, heshima ya Taifa imerejea, hatupangiwi na MTU, WHO wakitoa taarifa na ugonjwa feki, wanaitwa kujieleza, tumerejesha mahusiano na Israel na Morocco, JPM kaongeza balozi mpya. Hapo ni A,
10. Elimu na afya kuna maboresho makubwa hapo hata kipofu anaona, vyuo feki vimefutwa, mikopo imeongezwa, udahili umeongezeka na mifumo ya kudhibiti ubora TCU na NACTE wapo vizuri, hapo ni A.
11. UMOJA WA KITAIFA upo Imara, watanzania ni wamoja hakuna udini wala ukabila. Mfano Mnyika (Mchaga) kavikwa uchifu wa kisukuma, hapo hakuna umoja wa Kitaufa?, wasukuma si wangemkimbiza?. Hapo ni A,
12. Ushawishi, tangia akiwa waziri, hotuba zake za bajeti zilipigiwa makofi hadi na wapinzani, anao ushawishi na mvuto katika hotuba. Sio mnafiki, anaeleza uhalisia bila kupepesa macho, hapo ni A.
13. Anapenda utawala wa sheria ndomaana katika maamuzi yake hunukuu sheria, na sheria mbovu huomba zirekebishwe mfano sheria ya madini. Hapo ni A.
14. Usalama wa RAIA ni A, siku hizi tunalala milango wazi, hakuna cha panya road wala watoto
leta Rais mwingine unayedhania ni Bora Afrika kuliko DR. JPM, hiyo marking scheme yako INA makengeza na INA mtazamo wa Kibeberu.
VAPS,
Awamu ya kwanza (2015-2020) ilikuwa kujenga miundo mbinu, Yaani nyenzo za maendeleo au maendeleo ya vitu, awamu ya pili (2020-2025) ni maendeleo ya watu. Hizi changamoto ndogo zitatatuliwa zote, tumuunge mkono akamalizie kazi.