Huenda mimi ndio sijui maana ya ubora. Kama hivyo ulivyotaja ndio vinatoa rais bora, basi mbona marais wengi wa Afrika watakuwa bora? Maana ukiangalia hiyo list yako marais wengi wametekeleza kama sehemu ya majukumu yao. Ni vyema ungesema vitu Magufuli alivyotekeleza, ila suala la ubora ndani ya Afrika achana nalo. Ubora ni zaidi ya hivyo vitu vilivyo kwenye list yako. Ukumbuke na kuweka deni la taifa kwenye kipindi chake, ili tupime vizuri.
Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:
1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.
TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
Hakuna haki bila mipaka, nchi zenye maendeleo makubwa hapa duniani ni zile zinazozuia haki Fulani Fulani hivi. Peleka haki China uone kama hawajahujumiwa na mabeberu, kupanga ni kuchagua, haki au maendeleo.
Wakati unaona Tanzania JPM kazuia haki, Tanzania bado ni kimbilio kwa wananchi wa Afrika. Zamani tulikuwa nafasi ya pili baada ya South Afrika, kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kupendwa na wageni.
Usipotoshe watanzania,DR. JPM ni Rais Bora Afrika kwa 2019. Tumuombee afya njema na 2020 tumchague tena
Yes, you are a real mad if you don't see and feel the Development project spearheaded by JPMHii ni madness!
Basic human rights are the basic human needs,: Food, shelter and clothes. Through hard works spirit (Hapa kazi Tu), no one will miss those basics,Unachukulia China kama mfano wa maisha bora?
Bure kabisa
Nchi ile ni total jail....
Maendeleo sio lami na upumbavu mwingine,ni total human highest living comfort
Magufuli hajazuia haki tu,kazuia hadi basic human rights kabisa!
Thats even sinister!
ILI MABEBERU WAWEPO SI LAZIMA WAWEPO MAJIKE, AU MAJIKE YANAWEZA ISHI / HAYAHITAJI MABEBERU?
Msitari unaotofautisha "ubeberu"na "ubia" wa maendeleo upo wapi? Maana hamchelewi kubadilika kama vinyonga.
[
Kazi za RAIS zimeainishwa kikatiba lakini utekelezaji wake ni uwezo na jitihada binafsi. Ndio maana tunampongeza kwa kuwa Rais bora Afrika kwa kutekeleza vyema majukumu yake kwa uzalendo 100%Nini kazi ya Rais ?
Jibu hoja,acha kupindua maneno.JPM anapambana ili tusigeuzwe majike, shauri yako unaowatetea mabeberu, watakugeuza jike
Basic human rights are the basic human needs,: Food, shelter and clothes. Through hard works spirit (Hapa kazi Tu), no one will miss those basics,
Yes, you are a real mad if you don't see and feel the Development project spearheaded by JPM
Hata mie sioni cha kusifia. Nisifie alhali anazidi kutufanya wadeni sugu????!!!!
Wewe chekelea tu,utakapojikuta hadi vitukuu vyako vinalazimika kulipa deni linalonenepeshwa na jiwe lako ndo utajuta.Ukoloni mpya huo unachorwa.Wajinga hawawezi kuuona!Ni mawazo na akili yako imeishia uwezo wake apo , kwan kila MTU anadaiwa? Ambao hawadiwi wamefikaje apo?
Wewe chekelea tu,utakapojikuta hadi vitukuu vyako vinalazimika kulipa deni linalonenepeshwa na jiwe lako ndo utajuta.Ukoloni mpya huo unachorwa.Wajinga hawawezi kuuona!
KUNA MADENI YA KIJINGA.Na wajinga hawatoboi.hakuna mtu hana madeni, hata hela ulizonazo bado ni deni la kulipa bila madeni hutaona hela maisha yako yote: mfumo wenyewe wa hela duniani unaitwa DEPT MONETARY SYSTEM
KUNA MADENI YA KIJINGA.Na wajinga hawatoboi.
Wewe ni takataka kama huyo jpm wakoWanaompinga na kutofautiana nae kimtazamo wapi huru na salama, mfano 1. Zitto Kabwe
2. Mbowe
3. Mnyika
4. Heche
Kiongozi yupi wa upinzani katekwa?. Usifuate uzushi wa mitandaoni
Huwa nachukia sana majitu yanaposifiasifia hata kwenye vitu vya kitumbafff! Na linalosifiwa kama linafurahia litakuwa na matatizo kichwani!
Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:
1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.
TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
[/QUOTE
Kama ni rais bora basi Afrika inaongozwa na vichaa