Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi


 
Hadanganyiki mtu amesahau alivyokuwa anajibu kibabe alipokuwa anaulizwa kuongeza mishahara ,leo ndio amejua kuongeza mishahara ni muhimu akafiebele huko.
Hili la kuongeza mishahara watumishi sasa hivi ni sera ya lissu..si ya jpm tena..maana yeye ilimshinda. Kama ambavyo sera ya elimu bure waliyochukua chadema inavyowatesa sasa.
 
Huyu Mzee laghai na muongo wa kutupwa jalalani, haaminiki 2015 alisema hivyohivyo alipoingia madarakani kabadilika bila kupepesa macho, katili Sana!

Maslahi ya wafanyakazi ni masuala ya kisheria na si hiyari ya Raisi, aache upumbavu!

Hakuna nanna ni wa kupingwa chini tu huyu.
 
Hahaminiki alihaidi 2015 wakati wa kampeni Kama sasa.kuwa ataboresha maslahi ya wafanyakazi mpaka mwezi watano mwaka huu alikataa na hawezi kuongeza yeye atanunua dege atajenga reli Hana hawapo katika mipango yake. asilani.ni Nini kimemtokea hivi karibuni mbona wafanyakazi wapi kimya hawajadai tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…