Dkt. Magufuli tafadhali vumilia, mwaka huu ni zamu yako. Lowassa alivumilia ingawa aliumia

Dkt. Magufuli tafadhali vumilia, mwaka huu ni zamu yako. Lowassa alivumilia ingawa aliumia

Alikwenda Ubelgiji kutibiwa, maana kundi hatari la jiwe lingekatisha maisha yake kwa maelezo ya kuwa shambulio lilikuwa kubwa. Au mna mpango wa kumshambulia tena?
Mungu muweza atuepushe na balaa la ccm na mgombea wao
 
Ya kuambiwa changanya na zako. Yaani usiwe kasuku. Pole sana.

Kwa taarifa yako, kama hujui, Mkoa wa Geita, ambako Chato ni Wilaya ina Hifadhi za Taifa (Kisiwa cha Rubondo na Burigi) kwa ajili ya Utalii. Watalii wa nje watakuja na ndege zao hadi KIA au JKN na kupanda ATCL hadi Chato pasipo kulazimika kutua MZA.

Isitoshe kila Mkoa kwa sasa unajengewa uwanja wa ndege wenye ubora unaohitajika.

Endelea kusikia na kuamini VIOJA badala ya HOJA
Jee zile trilioni 1.5 nazo ziko wapi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hili Jukwaa litatulia Mara ya kura kuhesabiwa na kutangazwa Magufuli ndie rais Mteule wa JMT
 
Hili Jukwaa litatulia Mara ya kura kuhesabiwa na kutangazwa Magufuli ndie rais Mteule wa JMT

Hili jukwaa lina zaidi ya miaka kumi, ni lini umewahi kuona watu wametulia? Watu watatulia kwa kura za hiyo tume isiyo huru ya uchaguzi? Kama Magufuli amefanya kila kitu alichotarajia kuwa upinzani utakuwa umechoka hii 2020, lakini bado watu wako moto, ndio itakuwa matokeo ya hizo kura za kubumba?
 
Hili Jukwaa litatulia Mara ya kura kuhesabiwa na kutangazwa Magufuli ndie rais Mteule wa JMT
Wote tunajua kwamba NEC itamteua kulingana na mfumo wetu ulivyo mbovu,hiki anachokutana nacho kitoka kwa lissu hakutegemea kabisa kama itakuwa hv kwangu mm inatosha ili ajue watz sio wajinga kama anavyodhani yy
 
Back
Top Bottom