Say it loud. Lissu is coming.Lissu ananipa raha sn..... Huyu mtu hachoshi kabisa kumsikiliza...
Rais wa watz ni Tundu Lissu
Kwa hiyo chadema wao kazi hao ni kutukana tu
Wame mtukana nani na Matusi yenyewe ni yapi Mkuu ?
Mwaka 2015, aliyekuwa Mgombea wa Urais wa CHADEMA Edward Lowassa aliteseka sana. Alisemwa vibaya, alikejeliwa, alidhihakiwa, 'alitukanwa' alidhalilishwa na kutwezwa vya kutosha na kutisha. Lowassa alikosa ushawishi katika jukwaa la kampeni. Alikosa maneno ya kuongea. Aliishia kupata kigugumizi na kutoa salamu ya CHADEMA tu. Watu walijaa kwenye mikutano yake lakini hakuwa na cha kuwaambia kilichowavutia. Ulikuwa mwaka wake!
Mwaka huu, CHADEMA wana mgombea (Tundu Lissu) anayejua kusema, kusimanga, kunanga, kujenga hoja, kukera, kutangaza sera, kushawishi na kutupa vijembe. Mwaka huu makombora yanaelekezwa kwa Dkt. Magufuli, mgombea wa CCM. Yanaelekezwa kwake kwakuwa kwa miaka yote mitano ya awamu yake, ni yeye tu ndiye aliyekuwa akitajwa kwenye kila jambo linalohusu Serikali. Sifa zote alipewa yeye. Sasa apokee na kukosolewa yeye mwenyewe.
Mwaka huu, kwa nilivyomfuatilia, Dkt. Magufuli ameishiwa cha kuzungumza. Ameishiwa hoja. Hana jipya kwenye kampeni zake. Sasa imebaki 'kukopi' na 'kupesti' kutoka kwa Lissu. Mfano, jana tu ameahidi Bima ya Afya kwa kila mtanzania. Ni ahadi na sera ya Lissu tangu mwanzo. Nani kampa Dkt. Magufuli sera hii ya kuiga? Nasema, Dkt. Magufuli aseme mambo mapya; si abaki na yale yale na kuyasema vilevile.
Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.
Abadili santuri. Hakuna kipindi redioni au runingani kinachopiga wimbo mmoja tu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Na zinamuingia sawasawa sijui waliokaribu yake wana wakati mgumu sana.Jana imethibitika sindano za TL zimeanza kumuingia mtu fulani aliyezoea PONGEZI tuu!.
I fear our fellow countrymen will give him the last chance,if that happens,we will be in his inferno for the next 5 yearsMany reasons my friend. There have been so many changes to the status quo since Magu came into power. Every individual is gumbling, from civil servants who have got no pay rise since 2015 to business community who have lost their capital, to diplomats who have since been expelled in good numbers for speaking their minds.
Basi sawa chief,ni jokes tuHapana Mkuu ,nimeweka tu msisitizo kwa kuyarudia ya mleta uzi.Magamba mara nyingine wnaaajifanya hawaoni wnaapita kimya kimya.
Jana imethibitika sindano za TL zimeanza kumuingia mtu fulani aliyezoea PONGEZI tuu!.
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna.Na zinamuingia sawasawa sijui waliokaribu yake wana wakati mgumu sana.View attachment 1570311
Baada ya miaka mitano ya giza lililojaa ukandamizaji kitakachoweza kututoa humo ni UJASIRI tu.Tundu Lissu jana akiwa Makambako kwenye mkutano wa kampeni bila woga alisema"Tanzania inatawaliwa na mtu mwovu" daaaaah hadi nilichoka siyo kwa ujasiri huu
Baada ya miaka mitano ya giza lililojaa ukandamizaji kitakachoweza kututoa humo ni UJASIRI tu.
View attachment 1570344
Wewe jidanganye tuUzuri ni kuwa ndiye raisi 2020 Hadi 2025 , Lissu atarudi ubelgiji kuendelea na maisha yake
Ni vigumu sana kwa jiwe kujifunza.
Nyuzi kama hii unasoma huku unakunywa supu matata hapa Diamond Hotel mjini Kati Dar es salaam.
Uwanja wa chato kwa mwaka unaingiza shiling 10000 tu tena kwa kutua ndege yake yy tuu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake chato na uwanja huo unatua ndege moja kwa mwaka tena ya kwake tuu wakati pesa za walipa kodi za kina mama ntilie wamachinga na wengine zikijenga uwanja ule pesa zaidi ya tirioni 1.5 zimetumika
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Lissu ananipa raha sn..... Huyu mtu hachoshi kabisa kumsikiliza...
Rais wa watz ni Tundu Lissu