Dkt. Magufuli tafadhali vumilia, mwaka huu ni zamu yako. Lowassa alivumilia ingawa aliumia

Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.

💯

Na bado tunae.
 
Na bado atakapotupwanje ya kinyanganyiro ndio atakoma zaidi
 
Waliomshauri aongee peke yake kwa miaka mitano hawakufikiri vizuri, haya ndio madhara sasa...alishaongea akamaliza, hoja zingine angeishazijibu kitambo.

Wenzie ndio kwanza wanaanza, hana kipya anaishia kujibu mashambulizi tu!
🤣 🤣 🤣 kwa hiyo akina Lissu, Membe, Rungwe, Maalim na Zitto wamepata pa kupumulia na kutapikia nyongo sio? SIdhani kama this time atathubutu tena kuzuia mikutani ya hadhara iwapo atashinda, maana atakiwa anamuandalia kaburi mgombea wao ajaye.
 
Nowdays, why things are on that way buddy
Many reasons my friend. There have been so many changes to the status quo since Magu came into power. Every individual is grumbling, from civil servants who have got no pay rise since 2015 to business communities who have lost their capital, to diplomats who have since been expelled in good numbers for speaking their minds.
 
Mwaka 2015, aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA Edward Lowassa aliteseka sana. Alisemwa vibaya, alikejeliwa, alidhihakiwa, 'alitukanwa' alidhalilishwa na kutwezwa vya kutosha na kutisha. Lowassa alikosa ushawishi katika jukwaa la kampeni. Alikosa maneno ya kuongea. Aliishia kupata kigugumizi na kutoa salamu ya CHADEMA tu. Watu walijaa kwenye mikutano yake lakini hakuwa na cha kuwaambia kilichowavutia. Ulikuwa mwaka wake!

Mwaka huu, CHADEMA wana mgombea (Tundu Lissu) anayejua kusema, kusimanga, kunanga, kujenga hoja, kukera, kutangaza sera, kushawishi na kutupa vijembe. Mwaka huu makombora yanaelekezwa kwa Dkt. Magufuli, mgombea wa CCM. Yanaelekezwa kwake kwakuwa kwa miaka yote mitano ya awamu yake, ni yeye tu ndiye aliyekuwa akitajwa kwenye kila jambo linalohusu Serikali. Sifa zote alipewa yeye. Sasa apokee na kukosolewa yeye mwenyewe.

Mwaka huu, kwa nilivyomfuatilia, Dkt. Magufuli ameishiwa cha kuzungumza. Ameishiwa hoja. Hana jipya kwenye kampeni zake. Sasa imebaki 'kukopi' na 'kupesti' kutoka kwa Lissu. Mfano, jana tu ameahidi Bima ya Afya kwa kila mtanzania. Ni ahadi na sera ya Lissu tangu mwanzo. Nani kampa Dkt. Magufuli sera hii ya kuiga? Nasema, Dkt. Magufuli aseme mambo mapya; si abaki na yale yale na kuyasema vilevile.

Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.

Abadili santuri. Hakuna kipindi redioni au runingani kinachopiga wimbo mmoja tu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
comrade, na mimi niko Shinyanga hapa mjini wiki hii yote - aisee tuwasiliane basi tuyapange kukinusuru chama chetu!
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kwa hiyo akina Lissu, Membe, Rungwe, Maalim na Zitto wamepata pa kupumulia na kutapikia nyongo sio? SIdhani kama this time atathubutu tena kuzuia mikutani ya hadhara iwapo atashinda, maana atakiwa anamuandalia kaburi mgombea wao ajaye.
Hakuna tena mgombea atakae kuja kwani magufuli anataka kubadili katiba awe rais mpaka afe madarakani

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2015, aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA Edward Lowassa aliteseka sana. Alisemwa vibaya, alikejeliwa, alidhihakiwa, 'alitukanwa' alidhalilishwa na kutwezwa vya kutosha na kutisha. Lowassa alikosa ushawishi katika jukwaa la kampeni. Alikosa maneno ya kuongea. Aliishia kupata kigugumizi na kutoa salamu ya CHADEMA tu. Watu walijaa kwenye mikutano yake lakini hakuwa na cha kuwaambia kilichowavutia. Ulikuwa mwaka wake!

Mwaka huu, CHADEMA wana mgombea (Tundu Lissu) anayejua kusema, kusimanga, kunanga, kujenga hoja, kukera, kutangaza sera, kushawishi na kutupa vijembe. Mwaka huu makombora yanaelekezwa kwa Dkt. Magufuli, mgombea wa CCM. Yanaelekezwa kwake kwakuwa kwa miaka yote mitano ya awamu yake, ni yeye tu ndiye aliyekuwa akitajwa kwenye kila jambo linalohusu Serikali. Sifa zote alipewa yeye. Sasa apokee na kukosolewa yeye mwenyewe.

Mwaka huu, kwa nilivyomfuatilia, Dkt. Magufuli ameishiwa cha kuzungumza. Ameishiwa hoja. Hana jipya kwenye kampeni zake. Sasa imebaki 'kukopi' na 'kupesti' kutoka kwa Lissu. Mfano, jana tu ameahidi Bima ya Afya kwa kila mtanzania. Ni ahadi na sera ya Lissu tangu mwanzo. Nani kampa Dkt. Magufuli sera hii ya kuiga? Nasema, Dkt. Magufuli aseme mambo mapya; si abaki na yale yale na kuyasema vilevile.

Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.

Abadili santuri. Hakuna kipindi redioni au runingani kinachopiga wimbo mmoja tu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Mzee Tupatupa uko hapa mjini kwetu Manispaa pendwa ya Shinyanga, niambie kijana wenu mdomo kunuka ana chake hapa? Unauonaje moto wa Salome Makamba? Unababua, haubabui?
 
Amesahau hata kutuahidi m50 kila kijiji naatuambie marahii wavuvi atatuuwa kabisa au ataturudishia haki zetu?
 
..
Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.

Abadili santuri. Hakuna kipindi redioni au runingani kinachopiga wimbo mmoja tu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)

Nikupe pole tu kwa kuwa poyoyo maana hoja zako ni vioja vya Lissu.

Ukisoma Ilani ya CCM, Uchaguzi Mkuu 2015, ndiyo yaliyotekelezwa kwa kiwango kikubwa.

Unadai kwamba Sasa imebaki 'kukopi' na 'kupesti' kutoka kwa Lissu. Mfano, jana tu ameahidi Bima ya Afya kwa kila mtanzania hujui unachosema maana Lissu ndiye anafanya 'kukopi' na 'kupesti' ya CCM kama yalivyoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi Mkuu, 2020 (soma ukurasa wa 131-138)
 
Mwaka 2015, aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA Edward Lowassa aliteseka sana. Alisemwa vibaya, alikejeliwa, alidhihakiwa, 'alitukanwa' alidhalilishwa na kutwezwa vya kutosha na kutisha. Lowassa alikosa ushawishi katika jukwaa la kampeni. Alikosa maneno ya kuongea. Aliishia kupata kigugumizi na kutoa salamu ya CHADEMA tu. Watu walijaa kwenye mikutano yake lakini hakuwa na cha kuwaambia kilichowavutia. Ulikuwa mwaka wake!

Mwaka huu, CHADEMA wana mgombea (Tundu Lissu) anayejua kusema, kusimanga, kunanga, kujenga hoja, kukera, kutangaza sera, kushawishi na kutupa vijembe. Mwaka huu makombora yanaelekezwa kwa Dkt. Magufuli, mgombea wa CCM. Yanaelekezwa kwake kwakuwa kwa miaka yote mitano ya awamu yake, ni yeye tu ndiye aliyekuwa akitajwa kwenye kila jambo linalohusu Serikali. Sifa zote alipewa yeye. Sasa apokee na kukosolewa yeye mwenyewe.

Mwaka huu, kwa nilivyomfuatilia, Dkt. Magufuli ameishiwa cha kuzungumza. Ameishiwa hoja. Hana jipya kwenye kampeni zake. Sasa imebaki 'kukopi' na 'kupesti' kutoka kwa Lissu. Mfano, jana tu ameahidi Bima ya Afya kwa kila mtanzania. Ni ahadi na sera ya Lissu tangu mwanzo. Nani kampa Dkt. Magufuli sera hii ya kuiga? Nasema, Dkt. Magufuli aseme mambo mapya; si abaki na yale yale na kuyasema vilevile.

Aseme alichoahidi mwaka 2015; alichofanikiwa na alichoshindwa. Halafu, aseme atawezaje kutimiza kile alichoshindwa. Wakati huohuo, avumilie 'madongo' ya mpnzani wake uchaguzini Lissu na kujibu kwa kutulia. Ajibu kwa kueleweka. Ajibu kwa hoja za haja. Mwaka huu ni mwaka wake, ni zamu yake katika kukosa cha kushawishi ingawa umati wa wananchi 'hukusanywa' na 'kuandaliwa' kutoa tafsiri ya kukubalika kwake.

Abadili santuri. Hakuna kipindi redioni au runingani kinachopiga wimbo mmoja tu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Ndiyo matunda ya kuwaziba watu midomo
 
Back
Top Bottom