Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli unamtenga Jakaya Kikwete kwenye Kampeni zako, kumbuka ndiye aliyekupa Urais 2015. Muangukie akusaidie



Wewe mwenyewe umesema kichwa chake kina maruhani halafu unatuuliza kichwa chake kikoje!!

Kwanini hamtaki kusema ukweli nani aliyempa URAIS Jiwe; Vasco Dagama mtu wake alikuwa Membe sasa ili kumkomoa VascoDagama na kulipiza kisasi cha kumsaliti hapo indipo Lowassa alipocheza karata ya kumuangusha Membe walipofika TANO bora!! Walipobakia watatu wafuasi wa Lowassa wakambeba JIWE na ndio akapata kuteuliwa 2015!!! Umewahi kumsikia Jiwe hata siku moja akimdhihaki Lowassa? Anajua fika nani alimpa huo ulaji.
 
Kwani amekwambia anataka support
Ya kikwete?
 
Wafanyakazi wote wameongezewa mshahara wewe unaongelea wafanyakazi wa kugonga kokoto?

Km Unataka kikwete aendelee kukuongoza nenda ukamuombe ujiunge kwenye familia yake
Labda nyie wafanyakazi mnao uza bar ndio mumeongozewa.
 
Kwani hukumsikia chalinze?
Hili game ni dogo sana hakuna mshindani wa kutisha.
 
Wafanyakazi wote isipokuwa wale wa Chadema tu Kwasababu hawalipwi na Serkali
Nadhani wewe ungetulia kimya, Mh raisi kutetewa na viazi kama nyie mtasababisha baadhi ya watu wamnyime kura.
 
Kweli mkuu, kikosi kazi hicho kikiingia itakua balaa
 
Acha apewe za uso tu maana ndo alituachia huu msiba kwa kiherehere chake
 
CCM wanasema hivi: mwaka huu wametengeneza mpango mkakati ambao unadumu kwa miaka kumi. Kila Rais anayepita kwa tiketi ya CCM, na kwa utamaduni wao wa miaka kumi kumi, anaukuta huo mpango mkakati ukiwa katikati, yaani miaka 5 tayari kutekelezwa. Akimaliza awamu yake ya kwanza, na mpango unakuwa umeisha, hivyo unatengenezwa mwingine wa miaka kumi. Rais huyo akimaliza ngwe yake ya miaka kumi, ule mpango mkakati alioshiriki kuutengeneza unakuwa umefikia nusu ya muda wake.

Wenyewe wanasema kunakuwa na smooth transition.
 

Kama alishindwa kujipigia kampeni mwenyewe, kwa kukosa hoja za ushawishi kutokana na madhambi aliyoifanyia nchi hii kwa sababu ya kulazimisha uongozi bila sifa, si atamfanya rais wtu akose kura kabisa kwa kuwa watu watakumbuka madonda aliyowajeruhi?

Kwanza ninahisi kwa ukaribu sana kwamba kimoyomoyo anaweza kuwa ni team Membe kindani ndaki!.
 
Tungeendelea na huyo mswahili kwa miaka 20 kila kitu kingeuzwa.usitukumbushe mambo ya ricmond, iptl, twiga wanabebwa wazima acha bwana.
Mwambie Magu atuonyeshe ile Tsh 1.5 Trilion alipoiweka!! CAG kumuuliza akamfukuza kazi
 
Dhana ya kuabudu mtu badala ya chama, ilijengwa na akina Makamba, Kinana na Nape.
JPM alikuja kufuta huo upuuzi.
Kwani JK hajui hiki ni kipindi cha kampeni, anasubiri kufuatwa!?
 
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…