Dkt. Magufuli v/s Yusufu " tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
887
Reaction score
664
Ninaamini sifa anazopewa Magufuli hazitamfanya awe na kiburi au majivuno bali zitamnyenyekeza zaidi kwa Mungu kwa maana si yeye anayefanya Bali Mungu kupitia yeye tunamuombea ajishushe zaidi ili Mungu aendelee kumtumia kuibariki Tanzania.

Mfalme pharaoh alipoota ndoto ya masuke saba manono na masuke saba dhaifu yaliyomeza masuke saba manono na Ng'ombe saba zilizonona na ng'ombe saba dhaifi zilizomeza ng'ombe wanono Mungu alimfunulia hekima yake Yusufu kuhusu yajayo, na hiyo ikamtoa utumwani ikampeleka kwenye kiti cha uongozi asimamie ukukusanya nafaka kuepusha Taifa la Misri, hiyo yeye kuwa source ya ukombozi Wa wana Wa Israel

Ni nani ajuaye kwamba Mungu amemuweka John Pombe Joseph Magufuli kuwa Yusufu Wetu Leo.

Mungu ametubariki sana kwa mavuno mwaka huu kutokana Mvua nzuri na nyingi juu ya kiwango, Mungu atukuzwe mavune yasiyo athirika na Maji mengi yamemea vizuri tuna bumper harvest ya mpunga mwingi mpaka wakulima Wa mabonde ya Rukwa wameuza gunia kwa Tsh 25,000/- na bado mavuno in mengi.

Inawezekana (Mimi sijafunuliwa) kukawa na uhaba Wa mvua mwaka ujao, majirani zetu wana njaa ya chakula kutokana na lockdown.

Mungu akusaidie JPM akupe hekima ya kuweka kusudi la kukusanya nafaka hizi kuziweka kwenye maghala ili zisaidie kuliokoa Taifa Siku tusizozijua za usoni kila unayemteua moja ya agizo liwe " nenda kahimize hifadhi ya chakula kuanzia familia kijiji kata wilaya na kila mkoa wahifadhi chakula kinachotosha kwa Taifa kwa muda Wa kutosha, elekeza nguvu kubwa NFRA ili hata majirani zetu wakiteteleka tuwe na cha kuwasaidia. Ni nani ajuaye kwamba umekuja zamani hizi kwa ajili ya ukombozi Wa Africa.

Nimkumbushe tu kidogo JPM, maneno ya Mungu yanasema " kule atakakokuwa Mtu ndiko na hazina itakakokuwa, nikawaza kwa kina zawadi tuliyompa Baba Yetu Ben futi 3x6 eneo lisilozidi sq ft 18 au zaidi kidogo tena kijijini kwao Lupaso, nikaungana usemi wa Mfalme Suleiman aliyesema mambo yote ubatri na kujilisja upepo, niwaza makazi take ya Lushoto, nikawaza SeaView maeneo yake ya Dar, nikamuonea vivu JPM ambaye kauli zake ni kuinua wanyonge na walionewa na kuwarudishia wariodhurimiwa haki yao, ninaamini asipobadili msimamo akabaki vivyo hivyo mpaka mwisho bila kujali nafsi yake atakuwa kwenye heshima kubwa mbinguni na duniani, ataandikwa na vitabu vya sayansi na historia kama Mtu ambaye aliwatumikia watu kwa moyo Wa Upendo mkuu.

JPM ni Yusufu wetu wa leo Roho ya Mungu iendelee kufanya kazi ndani yako.
 
[SUP]candidat na biso Mobutu [/SUP]
[SUP]by Franco 1984 [/SUP]
[SUP]zaire elections [/SUP]
[SUP]jiwe Hana tofauti na Mobutu[/SUP]
[SUP][/SUP]

Amekufa sasa unasemaje?????!!! Tena mbaya zaidi hakukumbuka ...kutubu.
 
Back
Top Bottom