Wameanza kubeeb kuwa watamuengua mobea anaetumia lugha za viashiria vya uvunjifu wa hali ya amani,Je imekupitia kwenye akili ni akina nani hao ?
Chadema mumevuruga kwa kuwa hamukuweka wagombea Zanzibar wa Uraisi au Ubunge ,kosa hilo.
Turufu ya CCM ni kuona mkakati wa kuwaengua wagombea ambao wanaonekana wazi wameshaipiku CCM asubuhi wanaenguliwa kwa sababu zinazokuwa introduced katika kipindi hiki au hata kusubiri kiiiiiiiiiiiiiiiiiiipndi cha kati na lala salama.
Kwa sasa Membe abaki hapo hapo alipo asije kujaribu kile wanachokitamani yeboyebo aka CCM .