Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa.
Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri mlipaswa pia kuweka watendaji wenye uelewa kurahisisha upatikanaji wa huduma. Mkumbuke balozi zetu nyingi zipo mbali na tunapoishi. Ni na kuishi kwetu Kigoma ukaenda kuomba visa Dar. A lot of resources zinahitajika kusafiri zikiwemo fedha na muda.
Utaratibu wenu wa kutoa huduma una changamoto hizi hapa ambazo naamini zinatatulika.
1. Maafisa wengi wanaohudumu ubalozini eneo la Pasipoti na Visa yawezekana wameletwa huku Ubalozini Kwa vimemo. Ni watu wasio na majibu ya hoja za waomba huduma. Unapiga simu ubalozini wanakusikiliza then anayekusikiliza Hana majibu ya moja Kwa moja Hadi aulize. Mnawapelekaje vipi maafisa ubalozini wasio na uelewa?
2. Unaomba appointment unafika unaambiwa huna hiki na kile wakati huo maombi ya Pasipoti walishayapokea. Kwanini kabla yakumkubalia Mtanzania kufika ubalozini msikague ombi lake aelekezwe vitu vya kuboresha? Wakati mwingine Diaspora tunaona watu maombi yanapitishwa ubalozi yanakwama kutoka Huko Uhamiaji Kwa Sababu Yana kasoro.....kwanini hizo kasoro zisibainishwe na Afisa aliyepo ubalozini? Kwanini competent officers wakae Tanzania incompetent waletwe huku Ubalozini?
3. Lugha ya baadhi ya maafisa ubalozi inakatisha Tamaa, it's like Diaspora na Watanzania wengine tumekuja huku kama vibaka.....watoa huduma hasa wanawake wanaofanya mawasiliano ya simu lugha siyo nzuri na hawana majibu
4. Tunataka kupeleka watalii Tanzania. Tukiomba visa mnazikataa Bila kutoa Sababu kwanini mmekataa, tukipiga simu mnadai hatujaweka sijui karatasi gani. Hapo kumbuka mkikataa tayari dola hamsini ya mtalii imeliwa na akitaka kurekebisha anaambiwa aombe upya.....hizi mentality mmezitoa wapi? Au Kwa Sababu ninyi mnalipwa dola hapo ubalozini mnadhani kazi yenu nikuwakatilia visa wageni. Tuoni Sababu kwanini mmemkatalia mtu visa lakini pia mruhusuni mgeni kufanya maboresho ndivyo nchi nyingine wanavyofanya...watoa visa ondokeni kwenye fikra za kijima muungeni mama mkono kwenye royal tour.
Hapa nataka niwaambie baada ya watalii wengi kuona wakiomba visa online wanakataliwa na fedha zinachukuliwa sasa hivi wanakwenda kuomba visa on arrival hasa upande wa Zanzibar na wanaingia hakuna kukataliwa na wakikataliwa on arrival mipaka yote Tanzania wanapewa Sababu za kukatiwa. Kama on arrival wanapewa Sababu kwanini online hakuna Sababu watu wajue?
Boresha mindset za watoa huduma, pitia nchi nyingine zitoa vipi huduma, chagua watendaji wenye uelewa wakae ubalozini achaneni na fursa, boresheni njia zakupata taarifa, acheni kabisa kuchukua dola hamsini za wageni Bila Sababu. Marekani pamoja na ukubwa wake wanatoa majibu ya visa tena Kwa maandishi sembuse Tanzania.
Nadhani pia Mhe. Waziri wa mambo ya nje anapaswa kuchukua CV za maafisa wanaotoa Huduma za Pasipoti na Visa ubalozini afanye uchunguzi kama no sahihi au ndo wamepewa hiyo fursa Kwa kujuana? Balozi zetu zina tatizo Sana la watu sahihi.