Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Ina maana atazikwa mkuranga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo unataka kusema msiba wa lowassa ukimalizika ngoma inalia tena taifa kuingia kwenye msiba mwingine?Taarifa za ndani kabisa, mzee Yuko kwenye makabati ya baridi Lugalo.
Ndio ni muislam, lakini si muislam wa kawaida, ni kiongozi wa taifa mstaafu. Taarifa zake hutoka systemeticallyAcha upuuzi sijui Miafrika mengine yakoje aise. Mnapenda sana taarifa za umbea na uzushi.
Mzee Mwinyi yupo anaendelea na matibabu na yule ni muislamu hawana ujinga wa kuficha msiba kama upande mwingine.
wewe omba tu Mungu husikia maombi yetu umeshaambiwa mapafu wewe ombea mwili wote wa mzeeMapafu ya mzee yana shida gani, ni pneumonia, kansa ya mapafu, kusinyaa kwa mapafu, covid-19 ama shida ni ipi ili tukiomba tuwe specific?
Sio kawaida watu wana 70+, 90+ inakuaje sio kawaida mkuu.??Ila hii mambo ya kuombea vifo viwapate high ranking ccm official inabidi wajitafakari sana hawa viongozi. Hii sio kawaida.
Sio rahisi kwenye kabati. Labda kwenye mashine za kupumua.Taarifa za ndani kabisa, mzee Yuko kwenye makabati ya baridi Lugalo.
Maji yalishazidi unga na mabepari hawangetoa hata senti moja bila kufuata masharti yaoMwenyezi Mungu ampe unafuu Mzee wetu. Ametutoa mbali toka kupanga foleni na kadi ya kaya kununua sukari ya ugawaji {NMC},chawa,kunguni funza,viroboto kutokana na ukosefu wa sabuni na mafuta,kusikiliza RTD mpaka kuangalia CNN,BBc,DStv Azam kuvaa kaniki na midabwada yenye viraka pamoja na kutembea peku mpaka Sasa kuwa na machaguo ya nguo na viatu.
Watu wanamiliki magari binafsi kuanzia salon mpaka mamia ya magari,maroli,mabasi mpaka ndege yote ni matokeo ya maamuzi magumu ya kubadili mfumo wa nchi
[emoji16]Tunasubiri kumaliza msiba wa Edward then tutatangaza!
Ukiachana na umri kama natural factor ila trend ya kuwaombea mabaya viongozi wa ccm tokea enzi za the departed magufuli, naona inakuwa kadiri siku zinavyoenda. Kwani hiki kitu huja ki notice ? Yaani hata afe nani wa ccm sahivi hamna anayeshtuka. Af ukichunguza sana hili jambo limeanzia kwa chama dola na sasa linawatafuna wao tena.Sio kawaida watu wana 70+, 90+ inakuaje sio kawaida mkuu.??
[emoji3]Yule aliyeona greda linachonga barabara kule Mkuranga akapiga picha....
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kama ilivyokuwa kwa Dr. Omary Ali JumaNdio ni muislam, lakini si muislam wa kawaida, ni kiongozi wa taifa mstaafu. Taarifa zake hutoka systemetically
Wekw picha mtaalam🤣🤣🤣🤣Yule aliyeona greda linachonga barabara kule Mkuranga akapiga picha....
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Unachokemea hapo mkuu ni kipi? Maana na wewe umeishia kulekule kwa unakopinga!Acha upuuzi sijui Miafrika mengine yakoje aise. Mnapenda sana taarifa za umbea na uzushi.
Mzee Mwinyi yupo anaendelea na matibabu na yule ni muislamu hawana ujinga wa kuficha msiba kama upande mwingine.