Dkt. Makame: Hakuna haja ya kumsafirisha Mstaafu Mwinyi kwa matibabu kwasasa (Tumuombee)

Dkt. Makame: Hakuna haja ya kumsafirisha Mstaafu Mwinyi kwa matibabu kwasasa (Tumuombee)

Ukiachana na umri kama natural factor ila trend ya kuwaombea mabaya viongozi wa ccm tokea enzi za the departed magufuli, naona inakuwa kadiri siku zinavyoenda. Kwani hiki kitu huja ki notice ? Yaani hata afe nani wa ccm sahivi hamna anayeshtuka. Af ukichunguza sana hili jambo limeanzia kwa chama dola na sasa linawatafuna wao tena.
Maisha magumu kaka, ona hata mazishi yap wanavyotukuzwa, kifupi hawana baya.
 
Back
Top Bottom