Dkt. Makame: Hakuna haja ya kumsafirisha Mstaafu Mwinyi kwa matibabu kwasasa (Tumuombee)

Mapafu ya mzee yana shida gani, ni pneumonia, kansa ya mapafu, kusinyaa kwa mapafu, covid-19 ama shida ni ipi ili tukiomba tuwe specific?
 
Acha upuuzi sijui Miafrika mengine yakoje aise. Mnapenda sana taarifa za umbea na uzushi.

Mzee Mwinyi yupo anaendelea na matibabu na yule ni muislamu hawana ujinga wa kuficha msiba kama upande mwingine.
Ndio ni muislam, lakini si muislam wa kawaida, ni kiongozi wa taifa mstaafu. Taarifa zake hutoka systemetically
 
Babu atakata moto jumatatu tar 19 Feb, au 20 baada ya mazishi ya Edward tar 17 Feb 2024.
 
Mapafu ya mzee yana shida gani, ni pneumonia, kansa ya mapafu, kusinyaa kwa mapafu, covid-19 ama shida ni ipi ili tukiomba tuwe specific?
wewe omba tu Mungu husikia maombi yetu umeshaambiwa mapafu wewe ombea mwili wote wa mzee
 
JK July 2024 , tutakula upwapwa njia panda ya Dar na morogoro kuelekea daraja jipya la wami.
 
Ila hii mambo ya kuombea vifo viwapate high ranking ccm official inabidi wajitafakari sana hawa viongozi. Hii sio kawaida.
Sio kawaida watu wana 70+, 90+ inakuaje sio kawaida mkuu.??
 
Maji yalishazidi unga na mabepari hawangetoa hata senti moja bila kufuata masharti yao
 
Sio kawaida watu wana 70+, 90+ inakuaje sio kawaida mkuu.??
Ukiachana na umri kama natural factor ila trend ya kuwaombea mabaya viongozi wa ccm tokea enzi za the departed magufuli, naona inakuwa kadiri siku zinavyoenda. Kwani hiki kitu huja ki notice ? Yaani hata afe nani wa ccm sahivi hamna anayeshtuka. Af ukichunguza sana hili jambo limeanzia kwa chama dola na sasa linawatafuna wao tena.
 
Sawa, ila wangemsafirisha kumpeleka Mkuranga kama alivyosema ila awe chini ya uangalizi wa madaktari !

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Acha upuuzi sijui Miafrika mengine yakoje aise. Mnapenda sana taarifa za umbea na uzushi.

Mzee Mwinyi yupo anaendelea na matibabu na yule ni muislamu hawana ujinga wa kuficha msiba kama upande mwingine.
Unachokemea hapo mkuu ni kipi? Maana na wewe umeishia kulekule kwa unakopinga!
 
Nchi hii unaweza kukuta Kiongozi keshakufa zamani lakini wao wanazurula na Maiti mara Nairobi Hospital mara Mzena Hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…